Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Nikiwa kama Mtanzania sijaridhika kabisa na kejeli ambazo wakenya wanatufanyia mitandaoni , Uungwana ni vitendo , hata kama wametufunga lakini hali hii haikubaliki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bashite anasemaje?Nikiwa kama Mtanzania sijaridhika kabisa na kejeli ambazo wakenya wanatufanyia mitandaoni , Uungwana ni vitendo , hata kama wametufunga lakini hali hii haikubaliki.
View attachment 1141068
Nikiwa kama Mtanzania sijaridhika kabisa na kejeli ambazo wakenya wanatufanyia mitandaoni , Uungwana ni vitendo , hata kama wametufunga lakini hali hii haikubaliki.
View attachment 1141068
asante mkuuNdugu zangu Watz, Wabongo na Wazalendo tukubalini tu yaishe.
Kila mmoja ameshuhudia mechi ya jana usiku pale June 30 tulivyobugizwa goli 3 kwa 2 pamoja na kuongoza kipindi chote cha 1. Sioni sababu ya kuwalaumu Wakenya. Tatizo letu tunaingiza SIASA na UCCM kila sehemu hata kwenye mambo ya msingi yasiyo hitaji blablah za kisiasa.
Kama watu hawajui ni hivi, kipigo cha Taifa Stars jana kimechangiwa sana na majigambo ya RC Makonda na Baba yake.
Taifa Stars walikuwa tayari wameshashindwa baada ya Rais Magufuli kumwamuru RC wake mpendwa Bwana Konda kupanda ndege kwenda Masri eti kuhamasisha Stars washinde......!!!
Bado natafakari sana huyu Konda alikuwa na nini cha zaidi kuliko kina Spika Ayubu Ndugai na Wabunge wake ile siku ya kipigo toka SENEGALI....!!Kwa watu ambao wanaweza kusoma katikati ya mistari...Konda ni mtu mwenye kuamini mambo ya kishirikina hata Gufuli analijua hili....Sasa walifikiri akienda na mdumba zake za Bwagamoyo zitafua dafu...!!
Angalia mtu kama Rais Uhuru Kenyata hatukuona popote akijigamba wala kutoa kauli za kipuuzi kama za DAB na babake.
Simba mwenda kimya ndiye anayekula nyama...wahenga hawakuwa wajinga..!!!
Ni ukweli mchungu lakini lazima tuuseme ili tujisahihishe...!!!asante mkuu
Pia usisahau kupinga matumizi mabaya ya pesa za umma yanayofanywa na Bashite na wenzake.
Waambie wapunguze kejeliUkikubali kuolewa ukubali kulala bila ya chupi..
Wametufunga acha watambe, tukitaka na sisi watz tuwakejeli basi tuwashinde wakati ujao.
mkuu ilikuwa ni Kenya vs Bashite.Nikiwa kama Mtanzania sijaridhika kabisa na kejeli ambazo wakenya wanatufanyia mitandaoni , Uungwana ni vitendo , hata kama wametufunga lakini hali hii haikubaliki.
View attachment 1141068
Ohooo!!!mkuu ilikuwa ni Kenya vs Bashite.
tena hilo dude kubwa kwenye katuni yafaa lingemgeuzia Bashite kabisa azamishe kichwa "suez canal" huko.
tushajichokea na kiki za wakolomije siye!
😂😂😂😂😂Mbona katuni ya kawaida tu kwamba Tanzania msuli wake mdogo, au ubaya wake uko wapi? Ametumia mchezo wa Sumo.
Wasipunguze acha watambe ndio wakati wao huu.Waambie wapunguze kejeli