Napinga kutumbuliwa kwa Mrisho Gambo

Napinga kutumbuliwa kwa Mrisho Gambo

Alishatumbuliwa bandiko lako labda linaweza mfanya mkuu akamkumbuka kwa nafasi nyingine
 
Unaonekana familia yenu ina asiri ya uchawi ndomana una roho mbaya kwahy madeleva wetu wanavyokonolewa kwenye pua kwako raha hahah

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
We tako kweli, sio "asiri" ni "asili" hata kiswahili hujui umekaa unaongea ujinga. "Madereva" sio "madeleva"
Na mimi sina dini, siamini kwenye huo ushenzi wenu. Hao madereva wenu wamewapa nini? mimi nina maisha mazuri, ninajiendesha mwenyewe, wewe hao madereva wako wamekupatia nini? Stupid pig
 
Mheshiwa mkuu wa Nchi, umemtumbua Mrisho Gambo kimakosa sana.
Na hapa ninaona kama ameonewa sana.

Gambo alikuwa mkuu wa mkoa. Mkuu wa mkoa ndio top say ya mkoa wa Arusha, iweje Mkurugenzi na DC wasimheshimu?

Tofauti zao kubwa ni za kimadaraka. CED na DC ndio walistahili kumsikiliza Mkuu wao wa mkoa na kuheshimu yale wanayokubaliana.

Iweje mkuu wa Mkoa asimamie nafasi yake then hawa wa chini yake wasimheshimu?? Wamdharau??
Tunajua Mrisho ni mchapa kazi mzuri.

Haya maamuzi sio sahihi.

Gambo alikuwa anasimamia uongozi wake tu na kuheshimiwa.
Bahati mbaya watz hawaoni shida kuwa na dikteta ndio maana mambo yanakuwa mabaya kila siku.
 
Pia inategemea ngazi ya Halmashauri husika kwa Halmashauri ya Wilaya ataitwa DED kwa Halmashauri ya Manispaa ataitwa MED na kwa Halmashauri ya Jiji ataitwa CED

Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama kuna cha MED na CED, bali kwa manispaa anaitwa tu Municipal Director na wa Jiji anaitwa City Director.
 
Mheshiwa mkuu wa Nchi, umemtumbua Mrisho Gambo kimakosa sana.
Na hapa ninaona kama ameonewa sana.

Gambo alikuwa mkuu wa mkoa. Mkuu wa mkoa ndio top say ya mkoa wa Arusha, iweje Mkurugenzi na DC wasimheshimu?

Tofauti zao kubwa ni za kimadaraka. CED na DC ndio walistahili kumsikiliza Mkuu wao wa mkoa na kuheshimu yale wanayokubaliana.

Iweje mkuu wa Mkoa asimamie nafasi yake then hawa wa chini yake wasimheshimu?? Wamdharau??
Tunajua Mrisho ni mchapa kazi mzuri.

Haya maamuzi sio sahihi.

Gambo alikuwa anasimamia uongozi wake tu na kuheshimiwa.
Pole sana Mkuu , mteuzi wa kweli ni Mungu pekee
 
Wewe ni mchepuko wake???

Unamjua Gambo kuliko TAKUKURU. Kama Gambo atafulia njoo kwangu. Mimi ni muhongaji mzuri sana na pia sitegemei vyeo vya kuteuliwa.

Pia sina kibamia, utafurahi mwenyewe!
 
Respect yourself.
 
Mheshiwa mkuu wa Nchi, umemtumbua Mrisho Gambo kimakosa sana.
Na hapa ninaona kama ameonewa sana.

Gambo alikuwa mkuu wa mkoa. Mkuu wa mkoa ndio top say ya mkoa wa Arusha, iweje Mkurugenzi na DC wasimheshimu?

Tofauti zao kubwa ni za kimadaraka. CED na DC ndio walistahili kumsikiliza Mkuu wao wa mkoa na kuheshimu yale wanayokubaliana.

Iweje mkuu wa Mkoa asimamie nafasi yake then hawa wa chini yake wasimheshimu?? Wamdharau??
Tunajua Mrisho ni mchapa kazi mzuri.

Haya maamuzi sio sahihi.

Gambo alikuwa anasimamia uongozi wake tu na kuheshimiwa.
CCM wanachekesha sana ndiyo maana Nchi haina maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, Yaani mtu wa chini yako akiamua kumdharau mkubwa wake akawa na kiburi wanaamua kuwatoa wote? Dharau ya wa chini inamtoa yule boss wa juu? Mfumo wa kijinga sana huu, hii itawapelekea wakuu wa wilaya wengi kuanza kuwadharau wakuu wa mikoa wakijua ikitokea kufukuzwa wanafukuzwa wote, ni Aina mpya ya kutoheshimu boss wako mnafukuzwa wote itashusha heshima kwa viongozi wengi, watu wa chini watawafanyia visa wakijua kama ni kufukuzwa wanafukuzwa wote, hakuna utawala bora mbele ya Mdogo kumdharau mkubwa kisha mbafukuzwa wote, huo ni udhalilishaji kwa mkubwa kwani Mdogo sasa anajua akifanya ukaidi mkubwa anafukuzwa, ni vigumu Taifa kupata maendeleo endapo CCM wameanza kuendekeza ujinga huo mpya,ipo siku polepole atamdharau katibu mkuu kisha wataondolewa wote badala ya kuangalia chanzo wala yule aliyeleta Dharau , ebu mkuu wa wilaya mkurugenzi mdharau Naibu Rais ndugu Daud Bashite tuone kama mtatumbuliwa wote?
 
Back
Top Bottom