Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM ya sasa kutokuwa na nidhamu kwa kiongozi wako wa juu ni sifa, mfano wale wadogo wamemdharau mkubwa wao cha ajabu wametolewa wote badala ya kuwadhibu wale wadogo kwanza. Utawala bora hakuna, busara haipo tenaNi hulka yetu kushangilia anapotumbuliwa mtu.
Mtu akiachishwa kazi wanaofurahia huwa wengi.
Dalili nzuri za wivu.
Cha kupoteza hakipo lakini kuchangia mawazo juu ya utawala bora, utawala wa kuheshimu boss wako ni muhimu zaidi.Wewe unapoteza nini akitumbuliwa?
Wewe ni Gambo. Acha kujitetea. Kwani hamna kazi nyinhine nje ya u RC???CCM wanachekesha sana ndiyo maana Nchi haina maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, Yaani mtu wa chini yako akiamua kumdharau mkubwa wake akawa na kiburi wanaamua kuwatoa wote? Dharau ya wa chini inamtoa yule boss wa juu? Mfumo wa kijinga sana huu, hii itawapelekea wakuu wa wilaya wengi kuanza kuwadharau wakuu wa mikoa wakijua ikitokea kufukuzwa wanafukuzwa wote, ni Aina mpya ya kutoheshimu boss wako mnafukuzwa wote itashusha heshima kwa viongozi wengi, watu wa chini watawafanyia visa wakijua kama ni kufukuzwa wanafukuzwa wote, hakuna utawala bora mbele ya Mdogo kumdharau mkubwa kisha mbafukuzwa wote, huo ni udhalilishaji kwa mkubwa kwani Mdogo sasa anajua akifanya ukaidi mkubwa anafukuzwa, ni vigumu Taifa kupata maendeleo endapo CCM wameanza kuendekeza ujinga huo mpya,ipo siku polepole atamdharau katibu mkuu kisha wataondolewa wote badala ya kuangalia chanzo wala yule aliyeleta Dharau , ebu mkuu wa wilaya mkurugenzi mdharau Naibu Rais ndugu Daud Bashite tuone kama mtatumbuliwa wote?
DEO ni afisa elimu wilaya. DED ndio mkurugenzi kakosea tu kidogo najua ulikuwa umeelewa.
Kujitetea nini? Kwani kama hakuna kazi ingine zaidi ya RC ndiyo wadogo wamdharau mkubwa wao? Kubeba zege sawa lakini CCM mnawafundisha nini wadogo kwa wakubwa zao? Wewe unaafiki dharau toka kwa wakuu wa wilaya kwa RC ? Wambie wakuu wa wilaya wamdharau Naibu Rais ndugu Daud Bashite waone moto wake.Wewe ni Gambo. Acha kujitetea. Kwani hamna kazi nyinhine nje ya u RC???
NENDA UKAJIAJIRI! SIO NDIO LUGHA MNAYOTUAMBIAGA?? NJOO MTAANI TUBEBE ZEGE!
Mheshiwa mkuu wa Nchi, umemtumbua Mrisho Gambo kimakosa sana.
Na hapa ninaona kama ameonewa sana.
Gambo alikuwa mkuu wa mkoa. Mkuu wa mkoa ndio top say ya mkoa wa Arusha, iweje Mkurugenzi na DC wasimheshimu?
Tofauti zao kubwa ni za kimadaraka. CED na DC ndio walistahili kumsikiliza Mkuu wao wa mkoa na kuheshimu yale wanayokubaliana.
Iweje mkuu wa Mkoa asimamie nafasi yake then hawa wa chini yake wasimheshimu?? Wamdharau??
Tunajua Mrisho ni mchapa kazi mzuri.
Haya maamuzi sio sahihi.
Gambo alikuwa anasimamia uongozi wake tu na kuheshimiwa.
Who are you by the way.
Wapo DC wenye vioja mfano DC wa Hai au DC wa jimboni kwa NasariSugu kwenye mijadala Star TV, agenda 2020 aliwatambua ma RC wa siku za nyuma akiwamo Marehemu Abbas Kandoro (rip) kama watu waliokuwa na wingi wa busara. Siyo hawa wa siku hizi.
Naamini Sugu alikuwa sahihi sana tu.
Wapo DC wenye vioja mfano DC wa Hai au DC wa jimboni kwa Nasari
Fact Fact...CCM wanachekesha sana ndiyo maana Nchi haina maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, Yaani mtu wa chini yako akiamua kumdharau mkubwa wake akawa na kiburi wanaamua kuwatoa wote? Dharau ya wa chini inamtoa yule boss wa juu? Mfumo wa kijinga sana huu, hii itawapelekea wakuu wa wilaya wengi kuanza kuwadharau wakuu wa mikoa wakijua ikitokea kufukuzwa wanafukuzwa wote, ni Aina mpya ya kutoheshimu boss wako mnafukuzwa wote itashusha heshima kwa viongozi wengi, watu wa chini watawafanyia visa wakijua kama ni kufukuzwa wanafukuzwa wote, hakuna utawala bora mbele ya Mdogo kumdharau mkubwa kisha mbafukuzwa wote, huo ni udhalilishaji kwa mkubwa kwani Mdogo sasa anajua akifanya ukaidi mkubwa anafukuzwa, ni vigumu Taifa kupata maendeleo endapo CCM wameanza kuendekeza ujinga huo mpya,ipo siku polepole atamdharau katibu mkuu kisha wataondolewa wote badala ya kuangalia chanzo wala yule aliyeleta Dharau , ebu mkuu wa wilaya mkurugenzi mdharau Naibu Rais ndugu Daud Bashite tuone kama mtatumbuliwa wote?
Huyo ni DEDToa education weka Executive Director
Naona Gambo unajitetea ki ainaMheshiwa mkuu wa Nchi, umemtumbua Mrisho Gambo kimakosa sana.
Na hapa ninaona kama ameonewa sana.
Gambo alikuwa mkuu wa mkoa. Mkuu wa mkoa ndio top say ya mkoa wa Arusha, iweje Mkurugenzi na DC wasimheshimu?
Tofauti zao kubwa ni za kimadaraka. CED na DC ndio walistahili kumsikiliza Mkuu wao wa mkoa na kuheshimu yale wanayokubaliana.
Iweje mkuu wa Mkoa asimamie nafasi yake then hawa wa chini yake wasimheshimu?? Wamdharau??
Tunajua Mrisho ni mchapa kazi mzuri.
Haya maamuzi sio sahihi.
Gambo alikuwa anasimamia uongozi wake tu na kuheshimiwa.