Napinga Luka Modric kupewa BALLON D'OR

Napinga Luka Modric kupewa BALLON D'OR

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hana vigezo vya kutwaa tuzo hiyo na wala hakuwahi kuwa navyo , ifike mahali dunia ya michezo isione aibu kuwapa tuzo wachezaji wanaostahili hata kama ni walewale kwa miaka 20 .

Usishindane na aliyejaaliwa .

Nakala kwa Michael Wambura , Makamu wa Rais wa TFF
 

Attachments

  • 2018 Ballon’Or _fire_.jpg
    2018 Ballon’Or _fire_.jpg
    76.1 KB · Views: 80
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Toa sababu kwann unapinga Luca kupewa sababu wakati alikuwa bora kwenye fainali ya uefa na alikuwa bora na mchezaji bora wa michuano ya world cup

Au midfielders hawapaswi kubeba tuzo ??
Sijasema ni mchezaji mbaya la hasha , lakini hana uwezo wa kuchukua tuzo hiyo hata kama mtunga vigezo angekuwa mama yake mzazi .
 
Sijui ila kuna wachezaji wengine wanabebwa na team performance na kwenye tuzo binafsi kama Ballon d'Or wanawakimbiza wachezaji ambao kama individuals walifanya makubwa kushinda hao waliotembelea nyota za wenzao.
Kwahiyo Modric anatembelea nyota ya wenzake anabebwa na perfomance ya timu
 
Back
Top Bottom