Napinga Makongoro Nyerere kuondolewa katika Kamati Kuu ya CCM

Nani kakudanganya watoto wa JPM hawali raha?_
 
Hahahaaa unapinga kwa hoja zaifu mnooo. Eti kisa baba yake alikua mwenyekiti wa CCM? Ubongo wk umejaa (..........)
 
Katika watu ambao wameleta shida kubwa katika nchi ya Tz ni Jiwe, hili halina ubishi
 
Hueleweki, you are Jiwe prototype.
 
Je wassira yupo serious?
 
akipewa mtasema kisa baba yake au mtoto wa fulani, akinyimwa aiwezekani mtoto wa fulani anyimwe...

mara ccm ife, achen ife sasa
Wewe haujui kinachongelewa inawezekana kiswahili kinakupiga chenga, hajanyimwa yeye alikuwa mjumbe ila sasa wamemuondoa na wamempa mjomba wake Wasira, CCM ina mfumo wa familia za wateule kuongoza chama.
 
Je wassira yupo serious?

Lini umemwona Wasirra anajifanya comedian?

You will be hard pressed kumkuta Wassira anacheka period.

Walimwita nyara ya Taifa for a reason. Hauzi sura, stone faced serious, black and ugly as ever.
 
Katika watu ambao wameleta shida kubwa katika nchi ya Tz ni Jiwe, hili halina ubishi
Shida kakuletea wwe mpiga deal na mpenda short cut za Maisha! Ila wale wanaoishi kwenye mfumo wa haki kwa wote walipenda sana utawala wa Magufuli!!
 
Hata Kama ingekua ni urithi.. Nyerere hakuanzisha CCM, maana CCM imetokea TANU na ASP, TANU umetoka TAA, TAA imetoka AA ambavyo vyote havikuanzishwa na Nyerere, so Kama Makongoro kakosa sifa, wacha atolewe
Kuna wakati ficha ujinga uonekane mwerevu, sasa wapi mtoa mada kasema Makongoro yupo kwa sababu ya urithi au late father of nation ndiye kaazisha vyama ulivyotaja?.
 
Wewe haujui kinachongelewa inawezekana kiswahili kinakupiga chenga, hajanyimwa yeye alikuwa mjumbe ila sasa wamemuondoa na wamempa mjomba wake Wasira, CCM ina mfumo wa familia za wateule kuongoza chama.

nazani hii ijitosheleze kuelewa wewe peke yako
 
Ni bora Kikwete kuliko yule nduli aisee. Unakumbuka nchi ilirudi enzi za ujima. Hata haya matatizo unayoyaona yamesababishwa na Jiwe.
Toka Jiwe afunge ka duka kako ka mchongo ka kubadilishia fedha za Kigeni umekua na chuki isiyo kwisha kwa Mwendazake!! Pole pambana na hali yako! Ongea na Mwigulu akurudishie fedha zako za Utakatishaji!!!
 
Pohamba kwani Magu alikua mwamba? Kama alikua mwamba tusubilie twenty five tutajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…