kinyamkela mahaba
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 1,178
- 1,596
Nani kakudanganya watoto wa JPM hawali raha?_Watoto wa wakubwa angalau wanakula Raha za Nchi kasoro Watoto wa Mwamba John Joseph Magufuli
1) Makongoro Nyerere -Mkuu wa Mkoa Manyara
2) Hussein Mwinyi -Rais wa Znz
3) Danston Mkapa - Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi
4) Ridhiwani Kikwete -Naibu Waziri wa Ardhi
5)
6) Binti wa Samia Mbunge wa kuteuliwa toka Znz
CC ya CCM hatare