Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
In political etiquette uwezi kukosoa chama (hasa uongozi wa juu) wakati uko ndani kama huna nia ya ku-challenge nafasi ya mwenyekiti
Same kama ilivyo serikalini uwezi kukosoa maamuzi ya serikali kama wewe ni waziri (unabanwa na kanuni ya collective responsibility).
Mbowe ameanza kuwachosha wapambanaji wenzake, kuelezea huo uozo inabidi uwe nje ya chama, sio lazima ujiunge na chama kingine.
Msigwa ni hasira kwanza, pili ni maokoto ya CCM hizo nyongo ili asiteme bure bure tu, CCM wameona bora ateme akiwa mwanachama wao as opportunists and exploitative party.
Mbowe ni shida kwa ustawi wa CDM kama chama cha ukweli cha upinzani.