Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Unamwambia nani haya humu JF? Humu kuna wageni au unadhani waliopo humu ni wanakijiji?!Msigwa ameona chama kimekosa muelekeo chadema sio Ile tena ni kama kampuni ya mtu anajiamulia yeye anavyotaka kumbuka uchaguzi wa Kanda msigwa kahujumiwa sana pesa za mbowe zimetumika kumuangusha
Namshangaa Msigwa kwani kuhama ni ugomvi si matakwa ya demokrasia.Yeye atangaze sera za CCM fullstop. Mchungaji tena analipiza kisasi hata kama alitendewa mabaya. Mchungaji feki anasahau sala ya baba yetu aliye mbiguni! hana chochote wacha CCM imtumie hata Pendo kasemasema wee sasa kimya asiwasaidie akina Nchimbi na Makalla wasiojua kujenga hoja mpaka wakodi majeshi kutoka CDM. safari hii tunao.Msigwa hana impact, hata sababu zake za kuhama ni za kipuuzi! basi
Chadema haifai sawa,lakini Chadema ndiyo inayoongoza nchi hadi ccm kwakupitia msigwa wazunguke nchi nzima kutangaza kwamba Chadema haifai kwakupitia Mbowe?Wakisha tumia hizo pesa kuzunguka nchi nzima hapo ndipo watanzania tutapata maendeleo? Kimsingi hapo hakuna critical thinking.Ni kweli kwamba mtu akihama Chama hawezi tena kukisifu Chama alichotoka ama sivyo ataulizwa kwanini alikihama.
Lakini haiwezekani Msigwa azunguke nchi nzima aanze kusema,"Mbowe ni mnafiki,Chadema hawafai"
Yeye amahama Chadema, mambo ya Chadema sasa hayamhusu tena.
Waachane kwa amani na Chadema kwa amani. Isiwe kwamba sharti lake la kupokelewa CCM ni kuitukana Chadema.
Hata Lowassa alihamia Chadema hatukumsikia anaikashifu CCM.
Pia soma
Umenena kweli tupu mkuu!Wewe ndo umekufa maana hata mungu wa CHATO alitaka kuiua tena kwa vitendo akafa yeye sembuse wewe unaetumia maneno? Mama abdul anaiogopa chadema ndo maana analipa mabilioni kununua wanachama ili kukidhoofisha.
Wenye ccm yao wanajua hatari ya chadema kwao lakini wewe ambae unaishia kuvaa tishet na kulipwa hela za vocha ndo unadhani chadema imekufa we jipange kumpigia deki msigwa na ndo maana wenye ccm yao huchukuwa watu kutoka chadema na kuwapa nafasi maana wanauwezo
Hana uwezo wa kuchafua ChademaSiasa ni mchezo mchafu ni muda wake kuichafua CDM
Ngoja tuoneHana uwezo wa kuchafua Chadema
Watammaliza kabla hizo hela walizomhonga hajaanza kuzitumia.Msigwa anatengenezewa ajali ya kisiasa, wanamjaza upepo aishambulie Chadema kisha wanamnyofoa roho ili waseme ni Chadema wanalipiza kisasi,ajiangalie sana CCM ni Mafia kabisa.
Wani msigwa mwenyewe anasemaje!Msigwa ameona chama kimekosa muelekeo chadema sio Ile tena ni kama kampuni ya mtu anajiamulia yeye anavyotaka kumbuka uchaguzi wa Kanda msigwa kahujumiwa sana pesa za mbowe zimetumika kumuangusha
Ni mchungaji mwenye Kanisa la kilokole Iringa na Dar es salaam.Ni kweli kwamba mtu akihama Chama hawezi tena kukisifu Chama alichotoka ama sivyo ataulizwa kwanini alikihama.
Lakini haiwezekani Msigwa azunguke nchi nzima aanze kusema,"Mbowe ni mnafiki,Chadema hawafai"
Yeye amahama Chadema, mambo ya Chadema sasa hayamhusu tena.
Waachane kwa amani na Chadema kwa amani. Isiwe kwamba sharti lake la kupokelewa CCM ni kuitukana Chadema.
Hata Lowassa alihamia Chadema hatukumsikia anaikashifu CCM.
Pia soma