Napinga Mikel Arteta kupewa mikoba ya Wenger sababu hana uwezo

Wala sijapinga ulichoandika , lakini Je kwanini apewe Arteta asiye na ujuzi wala uzoefu ? Na huyo Carzola aliwahi kufanya nini na wapi ?
 
Wala sijapinga ulichoandika , lakini Je kwanini apewe Arteta asiye na ujuzi wala uzoefu ? Na huyo Carzola aliwahi kufanya nini na wapi ?

Watakuwa wanapendelewa kwasababu ya wao ni walikuwa ni creative players na Arsenal wanataka mwendelezo huo.

Hata Thierry Henry nae atafanyiwa usaili wiki ijayo.

Ila bado Max Allegri wa Juventus aongoza orodha ya mameneja ambao wataweza kufikiriwa na bodi ya Arsenal akiwemo pia Rafael Benitez wa Newcastle.

Lakini kwa mfumo mpya wa kocha wa Arsenal wanapendelea kuendelea na misingi aloacha Arsene Wenger kwa kumtumia Arteta ambae ana miaka 36 tu.

Kumbuka Arteta ni product ya Barcelona hivyo pia kuwa msaidizi wa Pep Guadiola ni mbolea tosha kumsaidia kuiona Arsenal.

Tarajia mabadiliko makubwa Arsenal huku wachezaji wengi wa zamani wakiachwa.
 
Ana kazi yake tayari.. yaani anafundisha timu nzuri kuliko Arsenal .. chukueni Lwandamina kama vp
Unadhani akipewa mshahara aliokuwa anachukua Wenger anakuja Emirates... nasikia ameanza kujifunza english
 
wamlete hata nsajigwa aka fuso ARSENAL SIHAMI NG'OOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO HILI NDO CHAMA LANGU MILELE.....HATA TUKIENDA CHAMPIONSHIP AU COMFERENCE MI NITAKUWA NAO HUKOHUKO
 
Duh !
 
Unadhani akipewa mshahara aliokuwa anachukua Wenger anakuja Emirates... nasikia ameanza kujifunza english

Aje na GRIEZMAN SASA.. sio aje mwenyewe pale kumfundisha welbeck kufunga
 
Hii timu ya Sven Mislintant-Mkuu wa Usajili, Raul Sanllehi- Operesheni na Darren Burges-High Performance watakuja na kitu kizuri sana. Goonnerz...
 
Wabongo bana... Zidane alivyopewa madridi alikuwa kaifundisha team gani kubwa.. na alikuwa na uzoefu upi wa maana. Tatizo nmnajudge huku hamjui insight ya uwezo wake Zaidi ya wale wanaomuona anaweza...
 
Hata Pep Guardiola alikuwa hana uwezo alipopewa Barca kufundisha. Kila kocha kuna anapo anzia.
 
stupid decision, I doubt if he has the gut to face the board to argue any case. Sean Dyche is my choice, not any other rubbish.
 
wanasema ana akili sana, alipokuwa kepteni alimsaidia sana Wenger, hata wachezaji wenzake walikuwa wakimuita kocha.
 
stupid decision, I doubt if he has the gut to face the board to argue any case. Sean Dyche is my choice, not any other rubbish.
Sielewi sababu za Arsenal kushindwa kumfikiria huyu mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…