Napinga Mikel Arteta kupewa mikoba ya Wenger sababu hana uwezo

Napinga Mikel Arteta kupewa mikoba ya Wenger sababu hana uwezo

Kumpa kijana huyu mikoba ya kufundisha Arsenal itakuwa kamari ya kijinga sana kuicheza na nachukua nafasi hii kupinga kabisa njama hizo .

Arteta aliyezaliwa 26/3/1982 hana uzoefu wa maana wala ujasiri wowote wa kuipa Arsenal mataji , katika kipindi alichoitumikia Arsenal pamoja na kupewa Arm band hakuwahi kutoa mchango wowote wa kusaidia timu yake , hata kwa kuhamasisha kwa maneno tu kama wafanyavyo Ma Captain wa vilabu vingine , aliitwa Man City kuwa kocha msaidizi July 3 2016 , mpaka sasa ni chini ya miaka miwili , huyu si wa kupewa timu tajiri kama Arsenal

Arsenal inahitaji kocha mzoefu mwenye mafanikio yasiyotiliwa mashaka , Au la kama viongozi wanapenda kumpa kazi hiyo yule aliyechezea klabu yao basi nafasi hiyo wapewe wachezaji wenye uchungu mkubwa waliotoa jasho na damu kuipa timu mataji , wachezaji hao wapo na majina yao yanafahamika , lakini si Arteta .

Nakala imfikie Arsene Wenger .
Ulinena ukweli mtupu.
 
Watu wa soka wananichukulia poa sana , lakini sijawahi kufeli mkuu
Kwa Akili yako hadi sasa Arteta kafeli ?

Mbona mnapenda kukuza mambo muonekane watabiri ?

Arteta hadi Sasa kafanya kazi kubwa sana Arsenal ,alipoikuta na Transformation anayoifanya sio ndogo

Kashatwaa mataji mawili. , Na Timu inamaendeleo Mazuri ......

Tuwasikilize

Rio Ferdinand:

"You have to give massive credit to Arteta & how they set-up. They absolutely pressured Man United, they pinned them back. ‘They said: ‘We don’t even need to have the ball, we’re going to control this game without the ball’"

Adams:

"The words coming out [of the club], when I talk to my mate Steve Bould - he said to me, 'This guy has got it all, he’s the governor'. He’s the best he’s seen in a long time. He really does understand the game, he expresses himself; he’s very confident"

Aubameyang:

"I think we knew since the beginning that we have to trust the process. As we said, Mikel is bringing something very, very nice. Everybody wants to follow this way"

WEWE NAKUSHAURI BAKI KWENYE SIASA ,FANYA MAANDAMANO ,

KAMA UTABIRI UNAUWEZA ,UNGEWATABIRIA KINA MBOWE ,LISSU ,MSIGWA KILICHOTOKEA OCT 28
 
😆😆😆 Uzi una miaka eti unakuja kuujibu leo baada ya kupata ndondokela ya kuifunga Man U ! Dah !
 
[emoji38][emoji38][emoji38] Uzi una miaka eti unakuja kuujibu leo baada ya kupata ndondokela ya kuifunga Man U ! Dah !
Wa miaka hiyo comment yako niliyo reply ni ya miaka?

Wewe baki kwenye siasa uchwara tu , Uganga wa kienyeji hauhuwezi.

Ndondokela angeipata man u. Maana mwaka wa 3 sasa hashind kwa Arsenal

Kijana Kawatabirie Chadema kushika Dola ,

In 10 months as a head coach:

-3 wins vs Liverpool
-2 wins vs United
-1 win vs City
-1 win vs Chelsea
-FA Cup winner
-Community Shield winner

My manager.
aftvmedia-20201102-0001.jpg
 
Back
Top Bottom