Napinga Njama zozote za kuwarejesha Wasaliti Chadema akiwemo Dkt Slaa na Halima Mdee, Walishafukuzwa na Baraza Kuu

Yws
Utaratibu ukifuatwa hakuna shida.

Kikubwa Katiba na kanuni zotezilindwe
 
Ruzuku ya Vyama vya siasa haitokani na Wabunge wa viti maalum
 
Kwani ume

Ambiwa hawa ni shetani. Shetani hii ni siasa Na ujue kuwa hawa ndiyo wameleta rudhuku ya milioni 107 kila mwezi kama mmekubali kuchukua rudhuku mnashindwa nini kuwarudisha huo ni unafiki.
Hujui kitu
 
Naunga mkono, mwenyekiti na makam wako chukua hii ,imepita
 
Nini kimetokea mbona umeanza kuwa mlalamishi ?
Lissu wanyooshe hawa madalali..
Nyie matapeli wa CDM makao makuu..nilianza kuwadharau Toka mlipofanya uhuni kwenye uchaguzi wa Kanda kumpitisha sugu kihuni..na uchaguzi wa Iringa kuupiga danadana Kwa sababu za kihuni..nendeni CCM Kuna hela nyingi za kihuni zitawafaa sana nyie madalali
 
Shetani mpya ana hasira za ulemavu mguu mmoja mfupi na kisasi ambacho ni haki yake, sasa akipanga safu yake hataki usaidizi maana anaweza hata kuokoteza waliomuasi makengeza , iko wazi mabifu ya kale hayamhusu boss mpya wa saccos ya DJ mlevi na mhuni danga la Joy!

Wanadai njaa imeingia huko ila ni suala la mpito tu, maana ruzuku zijazo hazitaenda tena kwa Joy tutakula wote, chauma ubwabwa oyee!!
 
Kama mnataka kuwa wenye nguvu kiasi cha kushika dola kuweni wamoja. Yeyote anayetaka kuungana nanyi mpokeeni mshirikiane. Hata Mpina akija kwenu mpeni jimbo.
 
Kwani sisi ni wanachama wenzako? Si ukawasilishe hayo maoni yako ktk vikao vyenu? Lakini kuna dhambi gani isiyosameheka? Kwanini msiwasamehe na kuwarejesha ili kuifanya CHADEMA Great again?
 
Sayansi ya siasa inapingana na hoja zako, hata hivyo nadhani CDM waanze upya, grudges hazisaidii hata kidogo, mwenyekiti anatakiwa kuunganisha watu, asiwe sehemu ya kutengeneza fractures.

Ila bado siamini kama Lissu anaweza kuiunganisha CDM kikawa chama chenye muelekeo.
 
Mdee ni snitch kama snitch wengine TU. Wakati watu wanapambana wa kiongozi wa maraika wao waka snitch. Ingekua TALIBAN'S wangepigwa chuma.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…