Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #41
Unanisingizia tuWewe jamaa tangu Mbowe atoke madarakani unaweweseka sana, punguza wenge maisha ni haya haya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unanisingizia tuWewe jamaa tangu Mbowe atoke madarakani unaweweseka sana, punguza wenge maisha ni haya haya.
Usikute na wewe ukawa sawa kwa sababu hiyo hiyo...Usikute na ushauri wako unakosa nguvu kwa sababu hiyohiyo.
YwsKwa Mujibu wa Katiba ya Chadema hakuna Kiongozi wa ngazi yoyote wa Chama hicho anayeweza kufanya Maamuzi ya Peke yake (Maamuzi Binafsi) ambayo yanaweza kutengua adhabu aliyopewa Mwanachama yeyote yule na Vikao halali vya Chama.
Njia pekee ya kufanya hivyo ni kwa kutumia Vikao vile vile vya Chama, ambavyo kwa namna yoyote havitaweza kuketi ili kujadili Ujinga huo, Halima Mdee na Wenzake walishafukuzwa na Chadema kwa vikao halali vya Chama vilivyotumia pesa nyingi za Chama kuviitisha, Chadema haina hela za kuchezea ili kuitisha vikao vya masihara, hili limeisha na waendelee kujiambatanisha na CCM kama walivyofanya kwa miaka mitano yote.
Dkt Slaa aliondoka Chadema kwa kisingizio cha Lowassa, akiwa yeye ndiye kamleta Lowassa! akahongwa Ubalozi waziwazi , namna alivyoingizwa Hotelini kwa Press iliyoandaliwa na serikali ili kutukana Chadema kila mtu aliona (Video zile zingalipo hata leo), Huyu hata Shambulio la kumuua Tundu Lissu aliita Shambuloo la Kawaida, na kwamba mashambulio kama hayo hata huko Ulaya yanafanyika, huyu aweza kurudi Chadema, Chama alichokituhumu kuleta Choo sebuleni ili iweje?
Napinga kabisa jambo hili kufanyika, Chadema ina lundo la Wamama wenye uwezo mkubwa sana wa kuwa viongozi, hakuna sababu ya maana wala ya kijinga ya kuwarejesha Mamluki, Naapa kutoshirikiana nao katika lolote hata kama watarejeshwa (Maana Chama si changu peke yangu)
Wengine wanaweza kusema kwamba Nina roho mbaya na labda nashindwa Kusamehe, lakini ni wapi kwenye Vitabu vya Mungu imeandikwa Tumsamehe Shetani? Pamoja na Mwenyezi Mungu kusisitiza mno Msamaha na kusamehe lakini hakuwahi kuagiza kusamehe Mwovu Shetani.
Naomba Kuwasilisha.
Ruzuku ya Vyama vya siasa haitokani na Wabunge wa viti maalumKapinge kwenye vikao vyenu huko, hapa unatupigia kelele.
Kiuchambuzi: kumsamehe Mdee ni faida kwa chama kuliko kumkataa.
Isitoshe Ruzuku iliyotokana na usaliti wa Mdee imelisaidia chama kujenga jengo la ofisi, kulipa posho na mshahara ya maafisa wa chama na kugharamia uchaguzi.
Kwa chama kukubali kupokea Ruzuku kutokana na Mdee; tayari chama kilishamsamehe.
Vinginevyo rejesheni Ruzuku zote
Hujui kituKwani ume
Ambiwa hawa ni shetani. Shetani hii ni siasa Na ujue kuwa hawa ndiyo wameleta rudhuku ya milioni 107 kila mwezi kama mmekubali kuchukua rudhuku mnashindwa nini kuwarudisha huo ni unafiki.
Naunga mkono, mwenyekiti na makam wako chukua hii ,imepitaKwa Mujibu wa Katiba ya Chadema hakuna Kiongozi wa ngazi yoyote wa Chama hicho anayeweza kufanya Maamuzi ya Peke yake (Maamuzi Binafsi) ambayo yanaweza kutengua adhabu aliyopewa Mwanachama yeyote yule na Vikao halali vya Chama.
Njia pekee ya kufanya hivyo ni kwa kutumia Vikao vile vile vya Chama, ambavyo kwa namna yoyote havitaweza kuketi ili kujadili Ujinga huo, Halima Mdee na Wenzake walishafukuzwa na Chadema kwa vikao halali vya Chama vilivyotumia pesa nyingi za Chama kuviitisha, Chadema haina hela za kuchezea ili kuitisha vikao vya masihara, hili limeisha na waendelee kujiambatanisha na CCM kama walivyofanya kwa miaka mitano yote.
Dkt Slaa aliondoka Chadema kwa kisingizio cha Lowassa, akiwa yeye ndiye kamleta Lowassa! akahongwa Ubalozi waziwazi , namna alivyoingizwa Hotelini kwa Press iliyoandaliwa na serikali ili kutukana Chadema kila mtu aliona (Video zile zingalipo hata leo), Huyu hata Shambulio la kumuua Tundu Lissu aliita Shambuloo la Kawaida, na kwamba mashambulio kama hayo hata huko Ulaya yanafanyika, huyu aweza kurudi Chadema, Chama alichokituhumu kuleta Choo sebuleni ili iweje?
Napinga kabisa jambo hili kufanyika, Chadema ina lundo la Wamama wenye uwezo mkubwa sana wa kuwa viongozi, hakuna sababu ya maana wala ya kijinga ya kuwarejesha Mamluki, Naapa kutoshirikiana nao katika lolote hata kama watarejeshwa (Maana Chama si changu peke yangu)
Wengine wanaweza kusema kwamba Nina roho mbaya na labda nashindwa Kusamehe, lakini ni wapi kwenye Vitabu vya Mungu imeandikwa Tumsamehe Shetani? Pamoja na Mwenyezi Mungu kusisitiza mno Msamaha na kusamehe lakini hakuwahi kuagiza kusamehe Mwovu Shetani.
Naomba Kuwasilisha.
Eeh mama Samia?!! 😹Wewe pandikizi la Mbowe kaa kimya. CHADEMA chini ya Lissu haiwezi kuwachekea tena wapambe wa Mbowe. Utafukuzwa uanachama
Jamaa alianzia chini sana. Alianza kama housegirl wa Mbowe ndo akapata utajiri.Ni mfanyabiashara wa K'Koo. Ana Kampuni zake kwa mujibu wa maelezo aliyowahi kutoa humu nadhani
Kwani sisi ni wanachama wenzako? Si ukawasilishe hayo maoni yako ktk vikao vyenu? Lakini kuna dhambi gani isiyosameheka? Kwanini msiwasamehe na kuwarejesha ili kuifanya CHADEMA Great again?Kwa Mujibu wa Katiba ya Chadema hakuna Kiongozi wa ngazi yoyote wa Chama hicho anayeweza kufanya Maamuzi ya Peke yake (Maamuzi Binafsi) ambayo yanaweza kutengua adhabu aliyopewa Mwanachama yeyote yule na Vikao halali vya Chama.
Njia pekee ya kufanya hivyo ni kwa kutumia Vikao vile vile vya Chama, ambavyo kwa namna yoyote havitaweza kuketi ili kujadili Ujinga huo, Halima Mdee na Wenzake walishafukuzwa na Chadema kwa vikao halali vya Chama vilivyotumia pesa nyingi za Chama kuviitisha, Chadema haina hela za kuchezea ili kuitisha vikao vya masihara, hili limeisha na waendelee kujiambatanisha na CCM kama walivyofanya kwa miaka mitano yote.
Dkt Slaa aliondoka Chadema kwa kisingizio cha Lowassa, akiwa yeye ndiye kamleta Lowassa! akahongwa Ubalozi waziwazi , namna alivyoingizwa Hotelini kwa Press iliyoandaliwa na serikali ili kutukana Chadema kila mtu aliona (Video zile zingalipo hata leo), Huyu hata Shambulio la kumuua Tundu Lissu aliita Shambuloo la Kawaida, na kwamba mashambulio kama hayo hata huko Ulaya yanafanyika, huyu aweza kurudi Chadema, Chama alichokituhumu kuleta Choo sebuleni ili iweje?
Napinga kabisa jambo hili kufanyika, Chadema ina lundo la Wamama wenye uwezo mkubwa sana wa kuwa viongozi, hakuna sababu ya maana wala ya kijinga ya kuwarejesha Mamluki, Naapa kutoshirikiana nao katika lolote hata kama watarejeshwa (Maana Chama si changu peke yangu)
Wengine wanaweza kusema kwamba Nina roho mbaya na labda nashindwa Kusamehe, lakini ni wapi kwenye Vitabu vya Mungu imeandikwa Tumsamehe Shetani? Pamoja na Mwenyezi Mungu kusisitiza mno Msamaha na kusamehe lakini hakuwahi kuagiza kusamehe Mwovu Shetani.
Naomba Kuwasilisha.
sahihiDr.Slaa arejeshwe CHADEMA siasa za visasi sio siasa.
FREE DR.SLAA!✌️✌️✌️
Mmebakiwa na vitu viwili tu, Matusi na Uchawi .Jamaa alianzia chini sana. Alianza kama housegirl wa Mbowe ndo akapata utajiri.