Napinga Njama zozote za kuwarejesha Wasaliti Chadema akiwemo Dkt Slaa na Halima Mdee, Walishafukuzwa na Baraza Kuu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kwa Mujibu wa Katiba ya Chadema hakuna Kiongozi wa ngazi yoyote wa Chama hicho anayeweza kufanya Maamuzi ya Peke yake (Maamuzi Binafsi) ambayo yanaweza kutengua adhabu aliyopewa Mwanachama yeyote yule na Vikao halali vya Chama.

Njia pekee ya kufanya hivyo ni kwa kutumia Vikao vile vile vya Chama, ambavyo kwa namna yoyote havitaweza kuketi ili kujadili Ujinga huo, Halima Mdee na Wenzake walishafukuzwa na Chadema kwa vikao halali vya Chama vilivyotumia pesa nyingi za Chama kuviitisha, Chadema haina hela za kuchezea ili kuitisha vikao vya masihara, hili limeisha na waendelee kujiambatanisha na CCM kama walivyofanya kwa miaka mitano yote.

Dkt Slaa aliondoka Chadema kwa kisingizio cha Lowassa, akiwa yeye ndiye kamleta Lowassa! akahongwa Ubalozi waziwazi , namna alivyoingizwa Hotelini kwa Press iliyoandaliwa na serikali ili kutukana Chadema kila mtu aliona (Video zile zingalipo hata leo), Huyu hata Shambulio la kumuua Tundu Lissu aliita Shambuloo la Kawaida, na kwamba mashambulio kama hayo hata huko Ulaya yanafanyika, huyu aweza kurudi Chadema, Chama alichokituhumu kuleta Choo sebuleni ili iweje?

Napinga kabisa jambo hili kufanyika, Chadema ina lundo la Wamama wenye uwezo mkubwa sana wa kuwa viongozi, hakuna sababu ya maana wala ya kijinga ya kuwarejesha Mamluki, Naapa kutoshirikiana nao katika lolote hata kama watarejeshwa (Maana Chama si changu peke yangu)

Wengine wanaweza kusema kwamba Nina roho mbaya na labda nashindwa Kusamehe, lakini ni wapi kwenye Vitabu vya Mungu imeandikwa Tumsamehe Shetani? Pamoja na Mwenyezi Mungu kusisitiza mno Msamaha na kusamehe lakini hakuwahi kuagiza kusamehe Mwovu Shetani.

Naomba Kuwasilisha.
 
Dkt Slaa aliondoka Chadema akiwa yeye ndiye kamleta Lowassa, akahongwa Ubalozi waziwazi , namna alivyoingizwa Hotelini kwa Press iliyoandaliwa na serikali ili kutukana Chadema kila mtu aliona (Video zile zingalipo hata leo), Huyu hata Shambulio la kumuua Tundu Lissu aliita Shambuloo la Kawaida hata huko Ulaya yanafanyika, huyu aweza kurudi Chadema, Chama alichokituhumu kuleta Choo sebuleni ili iweje?

Napinga kabisa jambo hili kufanyika, Chadema ina lundo la Wamama wenye uwezo mkubwa sana wa kuwa viongozi, hakuna sababu ya maana wala ya kijinga ya kuwarejesha Mamluki, Naapa kutoshirikiana nao katika lolote hata kama watarejeshwa (Maana Chama si changu peke yangu)

Wengine wanaweza kusema kwamba Nina roho mbaya na labda nashindwa Kusamehe, lakini ni wapi kwenye Vitabu vya Mungu imeandikwa Tumsamehe Shetani? Pamoja na Mwenyezi Mungu kusisitiza mno Msamaha na kusamehe lakini hakuwahi kuagiza kusamehe Mwovu Shetani.

Naomba Kuwasilisha.
😃😃😃
 
Pole. Nani alisaini fomu za kuwaruhusu kwenda bungeni? Si ni muda wa Maridhiano, Kuna Ubaya gani Chadema ikajiweka sawa kama ilivyokuwa mwanzo kwa kuwarejesha akina Ruyagwa Kabwe, Mwigamba, Prof. Mkumbo, Nassari, na wengineo? Chama kiimarike kwa Maridhiano siyo kuendeleza Bifu. Ama unafaidika na bifu hizi, Ndugu yangu???
 
Kwa Mujibu wa Katiba ya Chadema hakuna Kiongozi wa ngazi yoyote wa Chama hicho anayeweza kufanya Maamuzi ya Peke yake (Maamuzi Binafsi) ambayo yanaweza kutengua adhabu aliyopewa Mwanachama yeyote yule na Vikao halali vya Chama.

Njia pekee ya kufanya hivyo ni kwa kutumia Vikao vile vile vya Chama, ambavyo kwa namna yoyote havitaweza kuketi ili kujadili Ujinga huo, Halima Mdee na Wenzake walishafukuzwa na Chadema kwa vikao halali vya Chama vilivyotumia pesa nyingi za Chama kuviitisha, Chadema haina hela za kuchezea ili kuitisha vikao vya masihara, hili limeisha na waendelee kujiambatanisha na CCM kama walivyofanya kwa miaka mitano yote.

Dkt Slaa aliondoka Chadema kwa kisingizio cha Lowassa, akiwa yeye ndiye kamleta Lowassa! akahongwa Ubalozi waziwazi , namna alivyoingizwa Hotelini kwa Press iliyoandaliwa na serikali ili kutukana Chadema kila mtu aliona (Video zile zingalipo hata leo), Huyu hata Shambulio la kumuua Tundu Lissu aliita Shambuloo la Kawaida, na kwamba mashambulio kama hayo hata huko Ulaya yanafanyika, huyu aweza kurudi Chadema, Chama alichokituhumu kuleta Choo sebuleni ili iweje?

Napinga kabisa jambo hili kufanyika, Chadema ina lundo la Wamama wenye uwezo mkubwa sana wa kuwa viongozi, hakuna sababu ya maana wala ya kijinga ya kuwarejesha Mamluki, Naapa kutoshirikiana nao katika lolote hata kama watarejeshwa (Maana Chama si changu peke yangu)

Wengine wanaweza kusema kwamba Nina roho mbaya na labda nashindwa Kusamehe, lakini ni wapi kwenye Vitabu vya Mungu imeandikwa Tumsamehe Shetani? Pamoja na Mwenyezi Mungu kusisitiza mno Msamaha na kusamehe lakini hakuwahi kuagiza kusamehe Mwovu Shetani.

Naomba Kuwasilisha.
Mkuu hili andiko lako ni zuri lakini linakosa Mantiki hata kidogo na linakosa uzito, sababu tu aliyepost ni anonymous (hajulikani).

Ingekua umetumia verified ID lingeleta uzito sana. Ila kwa sasa unaweza onekana kama mropokaji tu ambae hata kadi ya Chama huna. Kumbe maskini yarabi yaweza kua wewe ni mwanachama tena kiongozi mwandamizi labda mwenyekiti wa Mkoa kabisa...
 
Aisee kumbe humfahamu?
 
Hadi utakuwa chizi wewe Kwa kipindi hiki Cha miaka mitano ya lissu,hamia CCM ili upinge vizuri
 
Wewe pandikizi la Mbowe kaa kimya. CHADEMA chini ya Lissu haiwezi kuwachekea tena wapambe wa Mbowe. Utafukuzwa uanachama
 
Mpinzani wa lisu na mfuasi wa mbowe umesha anza , kwani mwanachama akifukuzwa hairuhusiwi kumpokea akitubu?
 
Mkuu hili andiko lako ni zuri lakini linakosa Mantiki hata kidogo na linakosa uzito, sababu tu aliyepost ni anonymous (hajulikani).

Ingekua umetumia verified ID lingeleta uzito sana. Ila kwa sasa unaweza onekana kama mropokaji tu ambae hata kadi ya Chama huna. Kumbe maskini yarabi yaweza kua wewe ni mwanachama tena kiongozi mwandamizi labda mwenyekiti wa Mkoa kabisa...
Lengo langu ni kufikisha ujumbe tu, kama Wanasoma inatosha
 
Back
Top Bottom