Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 2,139
- 5,109
Kweli kabisa Hawa mamluki wa CCM wataleta mtafaruku bora waende jumla wakaunge mkono juhudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdee na Slaa ni kitu kimoja tofauti yao ni jinsi tu.Dr Slaa siyo msaliti, Hajawahi kufukuzwa na CHADEMA na hajawahi kujitoa CHADEMA.
Yeye kuteuliwa kuwa balozi haina tofauti na Jussa kuteuliwa na Mkapa kuwa mbunge au Mbatia kuteuliwa na Kikwete kuwa mbunge, hii haiwafanyi kuwa CCM!
Mdee na Slaa ni kitu kimoja tofauti yao ni jinsi tu.
Mada haihusu chadema na lissu?nje ya mada
Hamia CHAUMMA kwa sababu Lissu kashaanza kuwapelekea moto.Mmebakiwa na vitu viwili tu, Matusi na Uchawi .
Unatumia jina la Samia huku ukiwa Kichaa! Mwenye jina anajisikiaje?
Chadema kwa vikao halali vya Chama vilivyotumia pesa nyingi za Chama kuviitisha, Chadema haina hela za kuchezea ili kuitisha vikao vya masihara, hili limeisha na waendelee kujiambatanisha na CCM kama walivyofanya kwa miaka mitano yote.Kwa Mujibu wa Katiba ya Chadema hakuna Kiongozi wa ngazi yoyote wa Chama hicho anayeweza kufanya Maamuzi ya Peke yake (Maamuzi Binafsi) ambayo yanaweza kutengua adhabu aliyopewa Mwanachama yeyote yule na Vikao halali vya Chama.
Njia pekee ya kufanya hivyo ni kwa kutumia Vikao vile vile vya Chama, ambavyo kwa namna yoyote havitaweza kuketi ili kujadili Ujinga huo, Halima Mdee na Wenzake walishafukuzwa na Chadema kwa vikao halali vya Chama vilivyotumia pesa nyingi za Chama kuviitisha, Chadema haina hela za kuchezea ili kuitisha vikao vya masihara, hili limeisha na waendelee kujiambatanisha na CCM kama walivyofanya kwa miaka mitano yote.
Dkt Slaa aliondoka Chadema kwa kisingizio cha Lowassa, akiwa yeye ndiye kamleta Lowassa! akahongwa Ubalozi waziwazi , namna alivyoingizwa Hotelini kwa Press iliyoandaliwa na serikali ili kutukana Chadema kila mtu aliona (Video zile zingalipo hata leo), Huyu hata Shambulio la kumuua Tundu Lissu aliita Shambuloo la Kawaida, na kwamba mashambulio kama hayo hata huko Ulaya yanafanyika, huyu aweza kurudi Chadema, Chama alichokituhumu kuleta Choo sebuleni ili iweje?
Napinga kabisa jambo hili kufanyika, Chadema ina lundo la Wamama wenye uwezo mkubwa sana wa kuwa viongozi, hakuna sababu ya maana wala ya kijinga ya kuwarejesha Mamluki, Naapa kutoshirikiana nao katika lolote hata kama watarejeshwa (Maana Chama si changu peke yangu)
Wengine wanaweza kusema kwamba Nina roho mbaya na labda nashindwa Kusamehe, lakini ni wapi kwenye Vitabu vya Mungu imeandikwa Tumsamehe Shetani? Pamoja na Mwenyezi Mungu kusisitiza mno Msamaha na kusamehe lakini hakuwahi kuagiza kusamehe Mwovu Shetani.
Naomba Kuwasilisha.
Chawa wa mbowe you gonna die this yearLengo langu ni kufikisha ujumbe tu, kama Wanasoma inatosha
Hawezi fuatiliaa maana matokeo yamekuwa tofauti na alivyotarajia,huoni Kawa ka aliyerukwa akiliMbona msimamo wa Mwenyekiti wa Chama Taifa, ndugu Tundu Lissu uko wazi kabisa kuhusu hao Wabunge 19 wa Viti maalumu
Fatilia interview yake na Crown FM akiwa na Salim Kikeke
Ni ajabu mpaka leo hawataki kukiri kuwa kumleta lowasa lilikuwa kosa kubwa. Ni upumbavu kudai lowasa aliletwa na Dr Slaa.Dr Slaa siyo msaliti, Hajawahi kufukuzwa na CHADEMA na hajawahi kujitoa CHADEMA.
Yeye kuteuliwa kuwa balozi haina tofauti na Jussa kuteuliwa na Mkapa kuwa mbunge au Mbatia kuteuliwa na Kikwete kuwa mbunge, hii haiwafanyi kuwa CCM!
Kwasasa jamaa amebadirika ghaflaHawezi guatiliaa maana matokeo yamekuwa tofauti na aluvyotarajia,huoni Kawa ka aliyerukwa akili
Ukweli ni kwamba lowasa alinunua nafasi ya kugombea urais chadema kwa pesa ndefu, mbowe na lisu walipata mgao.Lissu kuna kitu hajaweka wazi na Dr Slaa hajawahi kukataa kuwa hakuwamo kwenye mchakato wa kumleta Lowassa, ila mna msingizia tu Dr Slaa yeye amesema zaidi ya mara mbili ilivyokuwa.
Kosa la Slaa ni kukataa kumsafisha fisadi lowasa.Sasa kama mlimleta Lowassa na kumsafisha,
Kosa la Slaa ni lipi?
Atarudi nyumbani.
Uongo hautakuondolea umasikini unaokuandamaKwasasa jamaa amebadirika ghafla
Ameamua kui attack uongozi wote wa Kamati kuu yao kwamba sio lolote sio chochote
Hii ni baada ya timu yake kushindwa Uchaguzi Mkuu
Sijui anakwama wapi, Lissu amesema yeye sio mtu wa visasi
Sijui jamaa ana wasiwasi gani na uongozi mpya 🙌
Na imethibitika Lowassa hakuwa msafi, na Lissu amekiri, kumleta Lowwassa ilikuwa dhambi na tumemsamehe.Kosa la Slaa ni kukataa kumsafisha fisadi lowasa.
Ndiyo ubadirike Mkuu, sio kuwaonesha wenzio Chuki za waziwazi humuUongo hautakuondolea umasikini unaokuandama