Napinga pendekezo la tume ya Jaji Chande la kurudisha na kurasimisha mfumo wa nyumba kumi, haufai

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Jaji Chande katika mapendekezo yake ya kuimarisha usalama na uzalendo alikuwa anaongea mambo ya ajabu ajabu sana ikiwemo kuhakikisha vijana wote wanaenda JKT na kurudisha na kuimarisha mfumo wa nyumba kumi.

Sababu alizozitoa ni za ajabu sana , zisizo na mashiko kama sio za uongo, kwamba eti kuna vijana walikusanywa kwenye nyumba wakawa wanafundishwa uhalifu bila majirani mtaani kujua!

Huu mfumo wa nyumba kumi ni mfumo wa kuendeleza urasimu, umbea, majungu zaidi na raia kufuatiliana Kiswahili. Ni mfumo wa kuendeleza utawala wa chama kimoja cha CCM, pia hauwezi kuimarisha ulinzi kwa namna yoyote.
 
Anataka turudishwe kwenye utamaduni wa kuchunguliana ambao unaweza kuminya uhuru wa mtu binafsi.!

Serikali inapaswa kuwekeza kwenye digital Intelligence na community policing ya kisasa.

Balozi wa nyumba kumi hana uwezo wa kugundua uhalifu wa kimtandao au ugaidi wa kisasa kwa kuangalia tu nani ameingia na nani ametoka.
 
Jaji Chande katika mapendekezo yake ya kuimarisha usalama na uzalendo alikuwa anaongea mambo ya ajabu ajabu sana ikiwemo kuhakikisha vijana wote wanaenda JKT na kurudisha na kuimarisha mfumo wa nyumba kumi.

Sababu alizozitoa ni za ajabu sana , zisizo na mashiko kama sio za uongo, kwamba eti kuna vijana walikusanywa kwenye nyumba wakawa wanafundishwa uhalifu bila majirani mtaani kujua!

Huu mfumo wa nyumba kumi ni mfumo wa kuendeleza urasimu, umbea, majungu zaidi na raia kufuatiliana Kiswahili. Ni mfumo wa kuendeleza utawala wa chama kimoja cha CCM, pia hauwezi kuimarisha ulinzi kwa namna yoyote.
Suala la vijana walikusanywa eti kwenye nyumba wakapewa mafunzo ilikuwa ni sababu za kitoto sana… za kipumbavu

Wanatafuta justification ili mwananchi adondoshewe lawama zaid
 
Jaji Chande katika mapendekezo yake ya kuimarisha usalama na uzalendo alikuwa anaongea mambo ya ajabu ajabu sana ikiwemo kuhakikisha vijana wote wanaenda JKT na kurudisha na kuimarisha mfumo wa nyumba kumi.

Sababu alizozitoa ni za ajabu sana , zisizo na mashiko kama sio za uongo, kwamba eti kuna vijana walikusanywa kwenye nyumba wakawa wanafundishwa uhalifu bila majirani mtaani kujua!

Huu mfumo wa nyumba kumi ni mfumo wa kuendeleza urasimu, umbea, majungu zaidi na raia kufuatiliana Kiswahili. Ni mfumo wa kuendeleza utawala wa chama kimoja cha CCM, pia hauwezi kuimarisha ulinzi kwa namna yoyote.

Ufalme wowote unaosimama kwenye misingi ya uongo, huhitilafiana wenyewe kwa wenyewe na mwisho huanguka
 
Unaogopa nini mkuu,

Utagundulika wewe ni Yahaya?
 
Mawazo ya kizee kabisa yale.
Hakuna lolote aliloshauri la maana ukiacha Katiba Mpya.
Wanataka tuanze ukisafiri uondoke na kikaratasi, ukifika unapokwenda uende ukajitambulishe kwa Balozi. 😁

Ukihamia sehemu, mpaka ukajitambulishe wewe na mkeo kwa Balozi. 😁
Longtime ubalozi ulikuwa ni ujiko, cheo na madaraka makubwa sana. 😁
 
Mawazo ya kizee kabisa yale.
Hakuna lolote aliloshauri la maana ukiacha Katiba Mpya.
Wanataka tuanze ukisafiri uondoke na kikaratasi, ukifika unapokwenda uende ukajitambulishe kwa Balozi. 😁

Ukihamia sehemu, mpaka ukajitambulishe wewe na mkeo kwa Balozi. 😁
Mzee anataka kuturudisha enzi za chama kimoja total surveillance state
 
Naogopa kunyimwa barua ya utambulisho kwa sababu sina kadi ya CCM.
Hizo kila mtu anapata kitaani.

Hakuna mtu imeripotiwa amekufa kwa kukosa barua ya serikali za mitaa.
 
Back
Top Bottom