Napinga Stesheni ya SGR Dar kuitwa Magufuli, hakuna sababu yoyote ya kuipa Jina hilo

Huna hoja
 
Uchumi wa Ethiopia wa kwenye makaratasi unaujua? Lakini kila leo maelfu ya vijana wanakufa na kukamatwa kila mahali wakijaribu kukimbia Nchi
 
Kaandamane kupinga jina hilo.
 
Ulitaka iitwe Mbowe?

Kama hauoni sababu zozote za kuitwa Magufuli, basi hata sisi hautuoni sababu za kuacha kuitwa Magufuli.

Isitoshe ni Maraisi wote, ila kwa Magufuli tu ndiyo umeona shida.

Nadhani hizi ni chuki
Ngongo
 
Wivu utakuua
Jikite kwenye mambo ya msingi
Watu wanatekwa nchini
 
Huna hoja
Nikisema unakihujumu Chama chako ukipendacho nitakosea? Huwezi kuficha viongozi wako Maswali magumu mnayoulizwa huku Mtaani ili wayapatie majibu na bado ukajiona ni mkereketwa wa Chama chako...la hasha!!!
 
Huyo ni mmoja wa vijana wa propaganda wa Mbowe waliomo humu Jamiiforum.
 
Hakuna kiongozi anaependwa na watu wote.
Kuna sehemu niliwahi sikia Nyerere aliitwa Dikteta.
Ndio maana wanasema wengi, wape.
Tunaheshimu mawazo wako. Tuache demokrasia iamue
 
Ukimaindi zaidi kunya boga................MTAKATIFU MAGUFULI nyoosha hao kenge
 
Ukiingiaga bleed tu unakuja na pumba zako humu jukwaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…