Napinga Stesheni ya SGR Dar kuitwa Magufuli, hakuna sababu yoyote ya kuipa Jina hilo

Napinga Stesheni ya SGR Dar kuitwa Magufuli, hakuna sababu yoyote ya kuipa Jina hilo

Huna rekodi ya waliotekwa na kuuawawa kwenye utawala wake akiwemo Ben Saanane na Azory Gwanda?
Kwani watu kutekwa na kuuwawa imeanza katika utawala wa Magufuli? Mbona kwenye utawala huu wanatekwa watu na kuuwawa, utawala wa Mkapa, Mwinyi, Kikwete wameuwawa watu kibao au huna rekodi?
 
Una chuki binafsi na Magufuli. Ukisema alikuwa "mnoko" unamaanisha mlikuwa manila hii nchi pamoja na familia zenu halafu mlitaka akae kimya
 
Back
Top Bottom