Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #21
[emoji38][emoji38][emoji38]mmh! we Jomba una bifu na dada yako kisa tu mnatofautiana chama... (gwe ilumbugo ujo)..... mnapoenda likizo Mbeya mkae myamalize maana sio kwa chuki hiii.....!!
Na matokeo yake watapigwa kama ngomaKwanini wasimlete mgeni rasmi labda gwiji wa zamani wa Simba kuliko hawa wanasiasa? Simba wamezingua
Hawakomi hawa, subiri wafumuliweHivi Simba huwa hawakomi tu kualika wageni rasmi kisha mechi inaishia pabaya upande wao.
My dada one of my teacher in MA very smart lady ,mwanasimba kindakindaki ,kama Taifa na CCM Tunampenda sana
Mnampenda wewe na nani ?My dada one of my teacher in MA very smart lady ,mwanasimba kindakindaki ,kama Taifa na CCM Tunampenda sana
Yaani hapo mmejitia kidole wenyeweHuyo njiti nuksi sana
🤣🤣🤣🤣🤣Huyo njiti nuksi sana
Mimi na familia yangu,CCM wenzangu na wasomi wenzanguMnampenda wewe na nani ?
Luhaga mpina naye yumo ?Mimi na familia yangu,CCM wenzangu na wasomi wenzangu
Alaaniwe aliyemchagua kuwa mgeni rasmiYaani hapo mmejitia kidole wenyewe
[emoji38][emoji38][emoji38]Hivi hizi mbwembwe za wageni rasmi mbona tunaziendekeza sana hizi nchi zetu zakijinga,ila uko kwawenye akili na mpira wao wala hawanaga hizi mbwembwe kivile.Tunaangaika na mbwembwe nyingi uku mpira wenyewe hata hatujui.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app