Napinga Tulia Ackson kuwa Mgeni Rasmi kwenye mechi ya Simba na Wydad Cassablanca

Napinga Tulia Ackson kuwa Mgeni Rasmi kwenye mechi ya Simba na Wydad Cassablanca

mmh! we Jomba una bifu na dada yako kisa tu mnatofautiana chama... (gwe ilumbugo ujo)..... mnapoenda likizo Mbeya mkae myamalize maana sio kwa chuki hiii.....!!
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
FB_IMG_1682106715172.jpg
 
NAUUNGA MKONO HOJA.

Spika hana ushawishi na mvuto kwa watanzania

kumuita huyu mwansasu ni kuleta mikosi kwa timu ya simba.

SHAURI ZENU
 
Timu yangu ndio huwa wanakwama hapo tu.
Kuna mwaka hadi zikapigwa siasa pale pale kiaina na mwamedi mwenyewe, eti zungu oyee! Ccm oyeee!
 
Hivi hizi mbwembwe za wageni rasmi mbona tunaziendekeza sana hizi nchi zetu zakijinga,ila uko kwawenye akili na mpira wao wala hawanaga hizi mbwembwe kivile.Tunaangaika na mbwembwe nyingi uku mpira wenyewe hata hatujui.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli humpendi kisiasa ila akivaa jezi ya simba anakua Mwanasimba na wansimba hawahitaji kujua huko kwenye siasa anafanya nini, ni kama vile Yanga na Mwigulu, anawakamua tozo ila akivaa jezi ya Yanga mnakula nae pilau. "Chuki binafsi haifai " Ally Choki ft Twanga pepeta. Kula chuma mtoa Mada.
 
Back
Top Bottom