Napinga Tulia Ackson kuwa Mgeni Rasmi kwenye mechi ya Simba na Wydad Cassablanca

Ingekuwa ni Mbowe ndie mgeni rasmi, mtoa mada angekuja na bahari moto moto kusifia ukubwa wa Mbowe
 
uchunguzi unaonyesha kwamba huyu ndio Spika anayechukiwa zaidi na wananchi tangu kuanza kwa utaratibu wa Bunge nchini Tanzania

Mh!!!!! Naomba utuonyeshe chapisho kuonyesha huo uchunguzi!!!!!

Chuki zako binafsi usitulazimshe wote tukubaliane nazo!!!!!!!!!!!

Simkubali tulia ila huyu pimbi ni wa kumpuuza.
 
Kumleta huyo ni nuksi ya kwanza

Nuksi ya pili ni jana nimeona MO kaongea na wachezaji kuwapa hamasa, mara zote MO akiongea na wachezaji et sijui hamasa huo mchezo huwa tunapoteza
 
Asalaam Aleykhum , Eid Mbarakha .

Baada ya Salamu hiyo na baraka hizo za Eid el Fitri naingia moja kwa moja kwenye hoja .

Nimepata taarifa kwamba Timu yangu ya Simba imemteua ndugu Tulia Ackson kuwa mgeni rasmi kwenye mechi yake ya Klabu bingwa Africa dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco , Wala haijafahamika vigezo wala sababu zozote zile zilizopelekea Ndugu Tulia kuteuliwa kuwa mgeni Rasmi kwenye game muhimu kama hii .

Nachukua nafasi hii kupinga jambo hilo kwa nguvu zote , Tulia hafai kuwa Mgeni Rasmi kwenye mechi kama hii kwa vile ataleta mgawanyiko kutokana na siasa zake za chuki na Ubabe , uchunguzi unaonyesha kwamba huyu ndio Spika anayechukiwa zaidi na wananchi tangu kuanza kwa utaratibu wa Bunge nchini Tanzania akifuatiwa na Job Ndugai , hajawahi kuwa mwanamichezo zaidi ya kushabikia ngoma za asili za huko kwao ambako nako alijiingiza ili apate umaarufu wa kisiasa tu .

Mechi hii inataka Mshikamano wa wadau wote , kuingiza Uwanjani mtu aliyevuruga bunge hadi kuwa kama muhuri wa kupitisha kila kitu na asiyekubalika kwenye jamii ni sawa na kujitafutia matatizo ya bure tu , kwanza Tulia Ackson hana Bahati kwenye soka , ndio maana tangu awe mbunge wa Mbeya timu za soka za huko zinaporomoka utadhani zinauza mechi kama inavyosuasua Mbeya City , mnataka na Simba ifike huku ?

Hata hivyo bado muda ungalipo na ili kuondoa nuksi tunaamini viongozi wa Simba watatubadilishia Mgeni Rasmi .
Huo uchunguzi wako uliufanyia wapi!?
 
Kumleta huyo ni nuksi ya kwanza

Nuksi ya pili ni jana nimeona MO kaongea na wachezaji kuwapa hamasa, mara zote MO akiongea na wachezaji et sijui hamasa huo mchezo huwa tunapoteza
Mwamedi mtamuonea bure, Simba itafungwa leo kwa kuzidiwa quality na siyo nuksi ya mtu yeyote yule.
 
Najuwa umeumia Sana baada ya kuona Dr Tulia kipenzi Cha Wana Mbeya anaendelea kung'ara kila mahali na kila eneo ,Wana Mbeya hawataki Tena uhuni na mavurugu ya sugu Bungeni ,walicheleweshwa Sana na Wala sugu hakuwa na hadhi ya kuwa mbunge wa Mbeya Mjini,Dr Tulia Hadhi ya jiji la Mbeya na ndio maana kwa Sasa jini limechanua kwa maendeleo kila Kona na kila sehemu,

Wewe kabebe maparachichi tukuyu uuzage pale uyole ,ubunge Ni wa Dr Tulia, wenye akili wanatambua uwezo wa kiuongozi wa Dr Tulia ,Wana tambua Dr Tulia Ni mwanamichezo ,Ni mpenda michezo na aliye na mchango mkubwa Sana katika Secta ya michezo ,Dr Tulia ndio Nembo ya Wana Mbeya , Amewaheshimisha Wana Mbeya na ukanda wote wa nyanda za juu kusini, ameleta heshima
 
Ninaunga mkono hoja, huyo spika uchwara hafai kabisa hata uchaguzi hakushinda hata yeye mwenyewe ni shahidi halafu tena eti alipewa huo uspika. Bure kabisa.
 
Najuwa umeumia Sana baada ya kuona Dr Tulia kipenzi Cha Wana Mbeya anaendelea kung'ara kila mahali na kila eneo ,Wana Mbeya hawataki Tena uhuni na mavurugu ya sugu Bungeni ,walicheleweshwa Sana na Wala sugu hakuwa na hadhi ya kuwa mbunge wa Mbeya Mjini,Dr Tulia Hadhi ya jiji la Mbeya na ndio maana kwa Sasa jini limechanua kwa maendeleo kila Kona na kila sehemu,

Wewe kabebe maparachichi tukuyu uuzage pale uyole ,ubunge Ni wa Dr Tulia, wenye akili wanatambua uwezo wa kiuongozi wa Dr Tulia ,Wana tambua Dr Tulia Ni mwanamichezo ,Ni mpenda michezo na aliye na mchango mkubwa Sana katika Secta ya michezo ,Dr Tulia ndio Nembo ya Wana Mbeya , Amewaheshimisha Wana Mbeya na ukanda wote wa nyanda za juu kusini, ameleta heshima
Wewe kwenu utengule ya Mbeya unayajulia wapi ?
 
Asalaam Aleykhum , Eid Mbarakha .

Baada ya Salamu hiyo na baraka hizo za Eid el Fitri naingia moja kwa moja kwenye hoja .

Nimepata taarifa kwamba Timu yangu ya Simba imemteua ndugu Tulia Ackson kuwa mgeni rasmi kwenye mechi yake ya Klabu bingwa Africa dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco , Wala haijafahamika vigezo wala sababu zozote zile zilizopelekea Ndugu Tulia kuteuliwa kuwa mgeni Rasmi kwenye game muhimu kama hii .

Nachukua nafasi hii kupinga jambo hilo kwa nguvu zote , Tulia hafai kuwa Mgeni Rasmi kwenye mechi kama hii kwa vile ataleta mgawanyiko kutokana na siasa zake za chuki na Ubabe , uchunguzi unaonyesha kwamba huyu ndio Spika anayechukiwa zaidi na wananchi tangu kuanza kwa utaratibu wa Bunge nchini Tanzania akifuatiwa na Job Ndugai , hajawahi kuwa mwanamichezo zaidi ya kushabikia ngoma za asili za huko kwao ambako nako alijiingiza ili apate umaarufu wa kisiasa tu .

Mechi hii inataka Mshikamano wa wadau wote , kuingiza Uwanjani mtu aliyevuruga bunge hadi kuwa kama muhuri wa kupitisha kila kitu na asiyekubalika kwenye jamii ni sawa na kujitafutia matatizo ya bure tu , kwanza Tulia Ackson hana Bahati kwenye soka , ndio maana tangu awe mbunge wa Mbeya timu za soka za huko zinaporomoka utadhani zinauza mechi kama inavyosuasua Mbeya City , mnataka na Simba ifike huku ?

Hata hivyo bado muda ungalipo na ili kuondoa nuksi tunaamini viongozi wa Simba watatubadilishia Mgeni Rasmi .
Mgeni ni yuleyule na Simba imeshinda
 
Back
Top Bottom