Weka mawazo yako hapa Kama hiyo Ni takataka,ama ndiyo tayari?Hayo ni mawazo au ni takataka kabisa hiyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka mawazo yako hapa Kama hiyo Ni takataka,ama ndiyo tayari?Hayo ni mawazo au ni takataka kabisa hiyo?
Unao ushahidi??Kuna muuwaji kama MBOWE
Tulia mama la mama
Ulimuona akiua ?Ifike Mahali viongozi wa Tanzania na hasa Mamlaka ya Uteuzi ijaribu kuwaheshimu Wananchi wake , hata kama ni Wajinga, duni ama Mbumbumbu.
Uteuzi wa Kagurumujuli, kada wa CCM aliyesababisha mauaji ya kijinga ya Akwilina alipokuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, akishirikiana na Lazaro Mambosasa, umelenga kudhalilisha Wananchi wote waliopiga kelele kuhusu mauaji hayo ya kishamba na ni sawa na matusi ya nguoni Kwa familia ya Akwilina.
Kwa kufupisha ni kwamba Kagurumujuli hafai kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza kwa vile ana tuhuma za mauaji, aweza kusababisha mauaji mengine tena.
Mwl Nyerere aliwahi kuwaambia wananchi wa Tanzania kwamba ANAYEKULA NYAMA YA MTU HAACHI.
Nashauri Uteuzi wake Utenguliwe mara moja.
Hii hoja yako wapelekee Wajinga sanaMkuu,
Tusiende kwenye mihemko. Mkurugenzi anahusika vipi na mauaji? Kwanza, kibali cha Mkutano wa siasa hatoi yeye.
Pili, hana mamlaka yeyote juu ya Usimamizi wa polisi. Ofisi ya OCD na RPC ndiyo wenye mamlaka. Hawawajibiki kwa Mkurugenzi.
Tatu, Mkurugenzi ni mtendaji na hawajibiki kwenye maswala ya kisiasa haswa mikutano ya hadhara ambayo tukio lilitokea.
Nne, hujasema ni kwa namna gani alishiriki katika tukio lenyewe.
Jenga hoja, tusijikite zaidi kwenye hisia. Kutakuwa hakuna maana.
Swali lako ni la kijingaUlimuona akiua ?
Kweli ccm ni Ile Ile.Ifike Mahali viongozi wa Tanzania na hasa Mamlaka ya Uteuzi ijaribu kuwaheshimu Wananchi wake , hata kama ni Wajinga, duni ama Mbumbumbu.
Uteuzi wa Kagurumujuli, kada wa CCM aliyesababisha mauaji ya kijinga ya Akwilina alipokuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, akishirikiana na Lazaro Mambosasa, umelenga kudhalilisha Wananchi wote waliopiga kelele kuhusu mauaji hayo ya kishamba na ni sawa na matusi ya nguoni Kwa familia ya Akwilina.
Kwa kufupisha ni kwamba Kagurumujuli hafai kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza kwa vile ana tuhuma za mauaji, aweza kusababisha mauaji mengine tena.
Mwl Nyerere aliwahi kuwaambia wananchi wa Tanzania kwamba ANAYEKULA NYAMA YA MTU HAACHI.
Nashauri Uteuzi wake Utenguliwe mara moja.
Atakusikiliza nani!?Ifike Mahali viongozi wa Tanzania na hasa Mamlaka ya Uteuzi ijaribu kuwaheshimu Wananchi wake , hata kama ni Wajinga, duni ama Mbumbumbu.
Uteuzi wa Kagurumujuli, kada wa CCM aliyesababisha mauaji ya kijinga ya Akwilina alipokuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, akishirikiana na Lazaro Mambosasa, umelenga kudhalilisha Wananchi wote waliopiga kelele kuhusu mauaji hayo ya kishamba na ni sawa na matusi ya nguoni Kwa familia ya Akwilina.
Kwa kufupisha ni kwamba Kagurumujuli hafai kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza kwa vile ana tuhuma za mauaji, aweza kusababisha mauaji mengine tena.
Mwl Nyerere aliwahi kuwaambia wananchi wa Tanzania kwamba ANAYEKULA NYAMA YA MTU HAACHI.
Nashauri Uteuzi wake Utenguliwe mara moja.
Kabisa[emoji419][emoji375]Mkuu,
Tusiende kwenye mihemko. Mkurugenzi anahusika vipi na mauaji? Kwanza, kibali cha Mkutano wa siasa hatoi yeye.
Pili, hana mamlaka yeyote juu ya Usimamizi wa polisi. Ofisi ya OCD na RPC ndiyo wenye mamlaka. Hawawajibiki kwa Mkurugenzi.
Tatu, Mkurugenzi ni mtendaji na hawajibiki kwenye maswala ya kisiasa haswa mikutano ya hadhara ambayo tukio lilitokea.
Nne, hujasema ni kwa namna gani alishiriki katika tukio lenyewe.
Jenga hoja, tusijikite zaidi kwenye hisia. Kutakuwa hakuna maana.
MunguAtakusikiliza nani!?
Hata CCM Mungu anawasikilizaMungu
Elimu murua,abishe tuMkuu,
Tusiende kwenye mihemko. Mkurugenzi anahusika vipi na mauaji? Kwanza, kibali cha Mkutano wa siasa hatoi yeye.
Pili, hana mamlaka yeyote juu ya Usimamizi wa polisi. Ofisi ya OCD na RPC ndiyo wenye mamlaka. Hawawajibiki kwa Mkurugenzi.
Tatu, Mkurugenzi ni mtendaji na hawajibiki kwenye maswala ya kisiasa haswa mikutano ya hadhara ambayo tukio lilitokea.
Nne, hujasema ni kwa namna gani alishiriki katika tukio lenyewe.
Jenga hoja, tusijikite zaidi kwenye hisia. Kutakuwa hakuna maana.
ila ujue kwamba Mungu siyo falaHata CCM Mungu anawasikiliza
Kweli,siyo fala,ila ujue kwamba Mungu siyo fala
Hakuna elimu hapo , Unamkumbuka Mwakabibi aliyekuwa DED Kakonko na baadaye kupelekwa Temeke baada ya kuiba uchaguzi na kusaidia ccm ?Elimu murua,abishe tu
Mwenye nguvu mpishe....Hakuna elimu hapo , Unamkumbuka Mwakabibi aliyekuwa DED Kakonko na baadaye kupelekwa Temeke baada ya kuiba uchaguzi na kusaidia ccm ?
Sifa ya kwanza ni uadilifu ambao kagurumujuli hana , alisababisha Mauaji kwa kukatalia viapo vya mawakala wa Chadema ili kuokoa ccm , kinondoni .Tutajie sheria, kanuni au waraka ambamo zimetajwa sifa za anayepaswa kuwa mkurugenzi wa jiji ili na sisi tuzisome kabla ya kukubaliana na wewe.