Napinga Uteuzi wa Kagurumujuli kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza, hana Sifa

Mkuu,

Tusiende kwenye mihemko. Mkurugenzi anahusika vipi na mauaji? Kwanza, kibali cha Mkutano wa siasa hatoi yeye.

Pili, hana mamlaka yeyote juu ya Usimamizi wa polisi. Ofisi ya OCD na RPC ndiyo wenye mamlaka. Hawawajibiki kwa Mkurugenzi.

Tatu, Mkurugenzi ni mtendaji na hawajibiki kwenye maswala ya kisiasa haswa mikutano ya hadhara ambayo tukio lilitokea.

Nne, hujasema ni kwa namna gani alishiriki katika tukio lenyewe.

Jenga hoja, tusijikite zaidi kwenye hisia. Kutakuwa hakuna maana.
 
Ulimuona akiua ?
 
Hii hoja yako wapelekee Wajinga sana
 
Kweli ccm ni Ile Ile.

Hivi kumbe kuna pdf moja tu ya uteuzi.
 
Atakusikiliza nani!?
 
Kabisa[emoji419][emoji375]
 
Maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024,safu ya returning officers inapangwa.Katiba Mpya si kwa uchuguzi 2024/25.
 
Elimu murua,abishe tu
 
Tutajie sheria, kanuni au waraka ambamo zimetajwa sifa za anayepaswa kuwa mkurugenzi wa jiji ili na sisi tuzisome kabla ya kukubaliana na wewe.
 
Tutajie sheria, kanuni au waraka ambamo zimetajwa sifa za anayepaswa kuwa mkurugenzi wa jiji ili na sisi tuzisome kabla ya kukubaliana na wewe.
Sifa ya kwanza ni uadilifu ambao kagurumujuli hana , alisababisha Mauaji kwa kukatalia viapo vya mawakala wa Chadema ili kuokoa ccm , kinondoni .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…