Napinga Uteuzi wa Kagurumujuli kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza, hana Sifa

Pingamizi lako halituzuii sisi kuendelea kulamba asali
 
Mbona Mbowe ana kashfa ya kumuua Chacha Wangwe na bado ni mwenyekiti wa chadema
 
Aliyemuua Chacha Wangwe alishitakiwa mahakamani na kuhukumiwa kifungo , baadaye akaachiwa kwa msamaha wa Rais Benjamin Mkapa , sasa mnapoleta upuuzi jitahidini kuwa na kumbukumbu , Wajinga Wakubwa nyie !
 
Kama Chinja-Chinja-Mtanzania(CCM) Political Party wameamua kumteua mfuasi wao sisi ni nani ata tupinge uamuzi mtukufu wa Mwenyekiti wa chama chakavu!
 
Tutawakumbusha tu
 
It's either ulikuwa nje ya nchi kipindi kile,au wewe ndugu yake Kagurumujuli,au wewe ni kada WA CCM ambaye hutumii akili kudadavua mambo .Mpenda haki yeyote hawezi kuandika haya uliyoandika.
 
Kuna thread humu inasema kuwa Rais Samia hasomi madokezo, yeye anatwanga sahihi tu.

Huyu Kujurumuli ni murder accomplice lwenye mauaji ya Akwilina Akweline. HAFAI
 
Hawa chawa huwa wanatumwa kubadili upepo
 
Kuna thread humu inasema kuwa Rais Samia hasomi madokezo, yeye anatwanga sahihi tu.

Huyu Kujurumuli ni murder accomplice lwenye mauaji ya Akwilina Akweline. HAFAI
Hii ni hatari sana !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…