mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Huyu ni mtoto wa Zelothe Stephen ambaye alikuwa RPC mkoa wa Lindi na alisababisha mauji na chuki kubwa mkoa wa Lindi.
Zelothe Stephen huyu Kwa sasa ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha, ambapo ameleta vurugu kubwa sana mjini arusha ndani na nje ya chama.
Amemfanya mbunge wa Jimbo la arusha Mjini amekuwa kama mkimbizi.
Kwa mantiki hiyo, kumteua mtoto wake kuwa Mkurugenzi Handeni ni kudhalilisha wananchi na wanamshauri Rais kwenye uteuzi huu walipitiwa.
Uteuzi wake utenguliwe.
peno hasegawa
Si tulikubaliana tuachane na mambo ambayo hatujashirikishwa kuyafanya?
Teuzi zimezingatia vigezo vya rais akipata mtu mbovu atamtengua