Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkaruka! Achana na huyo kilaza anayeleta maneno ya haya humu jfHoja ni ipi hapo maana nimesoma andiko lako sijaona tatizo la moja kwa moja kwa Saitoti linalohusu uteuzi wake
Yaani makosa yq baba yake mtoto ndio aadhibiwe?,huna jambo nyamazaHuyu ni mtoto wa Zelothe Stephen ambaye alikuwa RPC mkoa wa Lindi na alisababisha mauji na chuki kubwa mkoa wa Lindi.
Zelothe Stephen huyu Kwa sasa ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha, ambapo ameleta vurugu kubwa sana mjini arusha ndani na nje ya chama.
Amemfanya mbunge wa Jimbo la arusha Mjini amekuwa kama mkimbizi.
Kwa mantiki hiyo, kumteua mtoto wake kuwa Mkurugenzi Handeni ni kudhalilisha wananchi na wanamshauri Rais kwenye uteuzi huu walipitiwa.
Uteuzi wake utenguliwe.
Mkaruka! Achana na huyo kilaza anayeleta maneno ya haya humu jf
Imagien hivi kwa teuzi kama hizi bado kuna watu wanaamini kuwa CCM wako serious kwenye masuala ya Kitaifa!!?Huyu ni mtoto wa Zelothe Stephen ambaye alikuwa RPC mkoa wa Lindi na alisababisha mauji na chuki kubwa mkoa wa Lindi.
Zelothe Stephen huyu Kwa sasa ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha, ambapo ameleta vurugu kubwa sana mjini arusha ndani na nje ya chama.
Amemfanya mbunge wa Jimbo la arusha Mjini amekuwa kama mkimbizi.
Kwa mantiki hiyo, kumteua mtoto wake kuwa Mkurugenzi Handeni ni kudhalilisha wananchi na wanamshauri Rais kwenye uteuzi huu walipitiwa.
Uteuzi wake utenguliwe.
Pia wananchi wa Tanzania wasiache kuwapongeza wafuatao (niwapongeze wafuatao kwa kuteuliwa kwenye nafasi za UDAS):
- Geofrey Moses Nauye
- Justice Lawrance Kijazi
- Shauri Selenda Msuya
- Neema Michael Magembhe
- John Kulwa Mgalula
- Ramadhani Salmin Possible
- James Godfrey Mkumbo
- James Francis Chalamila
- Ruth John Magufuli
- Fatima Said Kubenea
- Pendo Daniel Ndumbaro
- Reuben Michael Chongolo
- Neema Fidelis Mfugale
- Said Majaliwa
- Ester Zulu Gama
Na hawa Kwenye nafasi za UDED
- Chiunde Mfaume Kawawa
- Abdul Omari Mtaka
- Tamim Hamad Kambona
- John John Nchimbi
- Joanfaith John Kataraia
- Shadrack M Mhagama.
Haya mambo 🙌🏼🙌🏼. CCM wanagawana vyeo vya Mama. TANZANIA hahahaa!
Yaani ukitazama nchi hii ilivyo na koo nyingi utasikitika kwanini koo chache ndizo zijione kuwa zinafaa kuongoza ama kutawala wengine:Huyu ni mtoto wa Zelothe Stephen ambaye alikuwa RPC mkoa wa Lindi na alisababisha mauji na chuki kubwa mkoa wa Lindi.
Zelothe Stephen huyu Kwa sasa ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha, ambapo ameleta vurugu kubwa sana mjini arusha ndani na nje ya chama.
Amemfanya mbunge wa Jimbo la arusha Mjini amekuwa kama mkimbizi.
Kwa mantiki hiyo, kumteua mtoto wake kuwa Mkurugenzi Handeni ni kudhalilisha wananchi na wanamshauri Rais kwenye uteuzi huu walipitiwa.
Uteuzi wake utenguliwe.
Pia wananchi wa Tanzania wasiache kuwapongeza wafuatao (niwapongeze wafuatao kwa kuteuliwa kwenye nafasi za UDAS):
- Geofrey Moses Nauye
- Justice Lawrance Kijazi
- Shauri Selenda Msuya
- Neema Michael Magembhe
- John Kulwa Mgalula
- Ramadhani Salmin Possible
- James Godfrey Mkumbo
- James Francis Chalamila
- Ruth John Magufuli
- Fatima Said Kubenea
- Pendo Daniel Ndumbaro
- Reuben Michael Chongolo
- Neema Fidelis Mfugale
- Said Majaliwa
- Ester Zulu Gama
Na hawa Kwenye nafasi za UDED
- Chiunde Mfaume Kawawa
- Abdul Omari Mtaka
- Tamim Hamad Kambona
- John John Nchimbi
- Joanfaith John Kataraia
- Shadrack M Mhagama.
Haya mambo 🙌🏼🙌🏼. CCM wanagawana vyeo vya Mama. TANZANIA hahahaa!
Huyu ni mtoto wa Zelothe Stephen ambaye alikuwa RPC mkoa wa Lindi na alisababisha mauji na chuki kubwa mkoa wa Lindi.
Zelothe Stephen huyu Kwa sasa ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha, ambapo ameleta vurugu kubwa sana mjini arusha ndani na nje ya chama.
Amemfanya mbunge wa Jimbo la arusha Mjini amekuwa kama mkimbizi.
Kwa mantiki hiyo, kumteua mtoto wake kuwa Mkurugenzi Handeni ni kudhalilisha wananchi na wanamshauri Rais kwenye uteuzi huu walipitiwa.
Uteuzi wake utenguliwe.
Pia wananchi wa Tanzania wasiache kuwapongeza wafuatao (niwapongeze wafuatao kwa kuteuliwa kwenye nafasi za UDAS):
- Geofrey Moses Nauye
- Justice Lawrance Kijazi
- Shauri Selenda Msuya
- Neema Michael Magembhe
- John Kulwa Mgalula
- Ramadhani Salmin Possible
- James Godfrey Mkumbo
- James Francis Chalamila
- Ruth John Magufuli
- Fatima Said Kubenea
- Pendo Daniel Ndumbaro
- Reuben Michael Chongolo
- Neema Fidelis Mfugale
- Said Majaliwa
- Ester Zulu Gama
Na hawa Kwenye nafasi za UDED
- Chiunde Mfaume Kawawa
- Abdul Omari Mtaka
- Tamim Hamad Kambona
- John John Nchimbi
- Joanfaith John Kataraia
- Shadrack M Mhagama.
Haya mambo 🙌🏼🙌🏼. CCM wanagawana vyeo vya Mama. TANZANIA hahahaa!
Hawa ndiyo wamiliki wa nchi wengine wote ni wapangajiHuyu ni mtoto wa Zelothe Stephen ambaye alikuwa RPC mkoa wa Lindi na alisababisha mauji na chuki kubwa mkoa wa Lindi.