Napinga Uteuzi wa Saitoti Zelothe Stephen kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri Handeni, hana Sifa

peno hasegawa
Si tulikubaliana tuachane na mambo ambayo hatujashirikishwa kuyafanya?
Teuzi zimezingatia vigezo vya rais akipata mtu mbovu atamtengua
 
peno hasegawa
Si tulikubaliana tuachane na mambo ambayo hatujashirikishwa kuyafanya?
Teuzi zimezingatia vigezo vya rais akipata mtu mbovu atamtengua
Mama D, tunakoelekea nchi imebebwa na familia 6, wengine wakalime wapi?

Wasomi wanaendesha boda boda Watoto wao wanangojea uteuzi,
 
Kumekucha !
 
Mkuu,

Unataka mtoto asipate uteuzi kwa sababu ya makosa ya baba yake?

Unaelewa kumhukumu mtu mmoja kwa makosa ya mtu mwingine ni kinyume cha sheria na katiba?

Sent from my SM-S908U1 using JamiiForums mobile app
 
Aisee hawa royal family wanapeana mirija hamna mfano. Mpaka huyo mama atoke hapo undugulaizesheni utakuwa tayari umesha weka mizizi na kama umetokea katika familia za kawaida ndugu yangu tujiajiri.
 
Aisee hawa royal family wanapeana mirija hamna mfano. Mpaka huyo mama atoke hapo undugulaizesheni utakuwa tayari umesha weka mizizi na kama umetokea katika familia za kawaida ndugu yangu tujiajiri.
Mashirika ya uma.

Idara zote zenye asali huko kote wamejazana tu.

Mtu anaenda kama intern analamba ajira hapo hapo hakuna interview wala nini.
 
Duh wabongo sasa tumezidi! Yaani kosa la dingi mtoto alale njaa tuache hizo
 
Pinga na ndugu yake nape, Chongolo, nakazalika.
Hawa wapinzani watu wabaya sana ona sasa wamesababisha kina nape,zolote na chongolo kuteuliwa kuwa ma DED! Isingekuwa wapinzani hawa wasingeteuliwa. Hahahahah
 
Peno! Huu ujinga utakuisha lini hata kama ni kweli unayoyasema kuhusu huyo Mzee! Je mtoto wake ana hatia gani kiazi wewe!
 
Kazi za kupeana peana hizi ndio mnategemea CAG aripoti madudu kwenye halmashauri halafu hawa ndugu na watoto wa wakubwa washughulikiwe kwa mujibu wa sheria?

Mtabinafsisha mpaka vyoo vya stendi kwa watu wenye akili wawasaidie kuongoza.
Wamekutia Uchungu???
 
Mashirika ya uma.

Idara zote zenye asali huko kote wamejazana tu.

Mtu anaenda kama intern analamba ajira hapo hapo hakuna interview wala nini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii nchi inahitaji mabadiliko ya haraka, kabla watu hawajafikia hatua ya kuanzisha zengwe la kutaka kugawana fito.
 
Saitoti πŸ˜„ mwache mwamba nae alambe asali bhana msela hana makuu hana noma na mtu huyu
 
Hoja ni ipi hapo maana nimesoma andiko lako sijaona tatizo la moja kwa moja kwa Saitoti linalohusu uteuzi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…