Napinga Uteuzi wa Saitoti Zelothe Stephen kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri Handeni, hana Sifa

Yaani makosa yq baba yake mtoto ndio aadhibiwe?,huna jambo nyamaza
 
Imagien hivi kwa teuzi kama hizi bado kuna watu wanaamini kuwa CCM wako serious kwenye masuala ya Kitaifa!!?
 
Yaani ukitazama nchi hii ilivyo na koo nyingi utasikitika kwanini koo chache ndizo zijione kuwa zinafaa kuongoza ama kutawala wengine:
Najiuliza - kuna familia moja ambayo ina wabunge wawili bungeni, ina waziri bungeni , ina katibu mkuu , ina wakurugenzi wa halmashauri wawili wakati sisi wengine hata ukitukukusanya Wialaya nzima hatuna mbunge, mbunge ni wakuja aliyeletwa na hawahawa. Inasikitisha sana
 
 

Attachments

  • 8F876345-1C7B-4C5B-81E6-9475BD72E2E8.jpeg
    69.7 KB · Views: 4
Hawa ndiyo wamiliki wa nchi wengine wote ni wapangaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…