Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 7,207
- 17,674
Wafuasi wa Chadema wakiongozwa na Mbowe na Lisu wametukana, kupinga na kubagaza sana mradi huu tangu kuanzishwa kwake kwa hiyo kuwaona wakiuongelea au kupanda kwenye treni hii ni kama tusi kwa wazalendo na wapenda maendeleo wa nchi yetu.
Nchi zote zinazosemekana uzalendo uko juu sana, huwa haziendekezi upuuzi wa kulea wasaliti ambao kazi yao ni kuzurura kwenye mataifa na vyombo vya habari kushusha thamani ya taifa. Wafuasi wa Chadema wametumia muda mwingi kuionyesha dunia kuwa watanzania hawajielewi na miradi kama ya SGR ni upuuzi mtupu na haina faida yoyote kwa taifa. Kwa nini sasa wapande? Wametubu lini madhambi yao?
Kuwaruhusu wafuasi wa Chadema wapande ni kushusha morali ya wazalendo kuendelea kupigania maendeleo ya nchi yetu, wakale walikopeleka mboga.