Napinga wafuasi wa CHADEMA kupanda treni ya SGR

Wafuasi wa Chadema wakiongozwa na Mbowe na Lisu wametukana, kupinga na kubagaza sana mradi huu tangu kuanzishwa kwake kwa hiyo kuwaona wakiuongelea au kupanda kwenye treni hii ni kama tusi kwa wazalendo na wapenda maendeleo wa nchi yetu.

Kuwaruhusu wafuasi wa Chadema wapande ni kushusha morali ya wazalendo kuendelea kupigania maendeleo ya nchi yetu
Hata Mimi napinga ila Kwa kuwa tayari Kodi yangu imeshatumika ndivyo sivyo nitapanda kama italazimu.
 
Wafuasi wa Chadema wakiongozwa na Mbowe na Lisu wametukana, kupinga na kubagaza sana mradi huu tangu kuanzishwa kwake kwa hiyo kuwaona wakiuongelea au kupanda kwenye treni hii ni kama tusi kwa wazalendo na wapenda maendeleo wa nchi yetu.

Kuwaruhusu wafuasi wa Chadema wapande ni kushusha morali ya wazalendo kuendelea kupigania maendeleo ya nchi yetu
ccm peke yako watajaza mabehewa? au itakuwa kazi kubwa kupeleka ccm dodoma katika vikao vyao? kodi ya matengenezo na uendeshaji si walipa watz wote? au sijakufahamu?
 
Wafuasi wa Chadema wakiongozwa na Mbowe na Lisu wametukana, kupinga na kubagaza sana mradi huu tangu kuanzishwa kwake kwa hiyo kuwaona wakiuongelea au kupanda kwenye treni hii ni kama tusi kwa wazalendo na wapenda maendeleo wa nchi yetu.

Kuwaruhusu wafuasi wa Chadema wapande ni kushusha morali ya wazalendo kuendelea kupigania maendeleo ya nchi yetu
Toast ushahidi wametukana lini
 
Sikujua kama kichwani pako ni patupu.

Hivi na umri wako huo unaamini kuwa fedha za kujenga SGR zilitoka CCM?

Hivi hujui kuwa hao CHADEMA ndio walitoka fedha za kujenga hiyo SGR?

Nikushauri kitu....
Anza kuhudhuria mental health clinic uboreshe afya yako ya akili.
Hata Mods nao kuruhusu threads za kipumbavu kama hizi nalo ni tatizo
 
Wafuasi wa Chadema wakiongozwa na Mbowe na Lisu wametukana, kupinga na kubagaza sana mradi huu tangu kuanzishwa kwake kwa hiyo kuwaona wakiuongelea au kupanda kwenye treni hii ni kama tusi kwa wazalendo na wapenda maendeleo wa nchi yetu.

Kuwaruhusu wafuasi wa Chadema wapande ni kushusha morali ya wazalendo kuendelea kupigania maendeleo ya nchi yetu
Acha mawazo ya kitoto. Hata kama walipinga haina maana wasipande. Kwani wale 80% waliopinga kuanzishwa mfumo wa vyama vingi walihama nchi au kuuacha siasa baada ya mawazo ya 20% kupitishwa?

Au wale ambao hawakumpigia Magufuli kura, hawakupaswa kumtambua kama raisi wao?
 
Lisu alintambua Magufuli?
 
Wafuasi wa Chadema wakiongozwa na Mbowe na Lisu wametukana, kupinga na kubagaza sana mradi huu tangu kuanzishwa kwake kwa hiyo kuwaona wakiuongelea au kupanda kwenye treni hii ni kama tusi kwa wazalendo na wapenda maendeleo wa nchi yetu.

Kuwaruhusu wafuasi wa Chadema wapande ni kushusha morali ya wazalendo kuendelea kupigania maendeleo ya nchi yetu
Kweli kabsaa,kwanza hawalipi kodi,pili wanamshambulia mwenye reli yake.Hawa ni wa kupelekwa jela woteee
 
Wafuasi wa Chadema wakiongozwa na Mbowe na Lisu wametukana, kupinga na kubagaza sana mradi huu tangu kuanzishwa kwake kwa hiyo kuwaona wakiuongelea au kupanda kwenye treni hii ni kama tusi kwa wazalendo na wapenda maendeleo wa nchi yetu.

Kuwaruhusu wafuasi wa Chadema wapande ni kushusha morali ya wazalendo kuendelea kupigania maendeleo ya nchi yetu
Kwamba wao sio watanzania, au pesa zilizotumika alizitoa baba yako?.
 
kodi yao imetumika kujengea hiyo reli au umesahau. wewe ndio wale watoto kwenye familia wanatofautianana watoto wenzao baba mmoja halafu wanasema wenzao wasile msosi wa familia kwasababu tu ya tofauti zao ila wote bado wanafamilia.
Huyu ni shetani
 
Wafuasi wa Chadema wakiongozwa na Mbowe na Lisu wametukana, kupinga na kubagaza sana mradi huu tangu kuanzishwa kwake kwa hiyo kuwaona wakiuongelea au kupanda kwenye treni hii ni kama tusi kwa wazalendo na wapenda maendeleo wa nchi yetu.

Nchi zote zinazosemekana uzalendo uko juu sana, huwa haziendekezi upuuzi wa kulea wasaliti ambao kazi yao ni kuzura kwenye mataifa na vyombo vya habari kushusha thamani ya taifa. Wafuasi wa Chadema wametumia muda mwingi kuionyesha dunia kuwa watanzania hawajielewi na miradi kama ya SGR ni upuuzi mtupu na haina faida yoyote kwa taifa. Kwa nini sasa wapande? Wametubu lini madhambi yao?

Kuwaruhusu wafuasi wa Chadema wapande ni kushusha morali ya wazalendo kuendelea kupigania maendeleo ya nchi yetu, wakale walikopeleka mboga.
Unajua imejengwa kwa mkopo?? Malipo ya loan ni Kodi zetu sisi,watu wote bila kujali itikadi za vyama.
 
Back
Top Bottom