Napinga wafuasi wa CHADEMA kupanda treni ya SGR

Hata Mimi napinga ila Kwa kuwa tayari Kodi yangu imeshatumika ndivyo sivyo nitapanda kama italazimu.
 
ccm peke yako watajaza mabehewa? au itakuwa kazi kubwa kupeleka ccm dodoma katika vikao vyao? kodi ya matengenezo na uendeshaji si walipa watz wote? au sijakufahamu?
 
Toast ushahidi wametukana lini
 
Hata Mods nao kuruhusu threads za kipumbavu kama hizi nalo ni tatizo
 
Acha mawazo ya kitoto. Hata kama walipinga haina maana wasipande. Kwani wale 80% waliopinga kuanzishwa mfumo wa vyama vingi walihama nchi au kuuacha siasa baada ya mawazo ya 20% kupitishwa?

Au wale ambao hawakumpigia Magufuli kura, hawakupaswa kumtambua kama raisi wao?
 

Lisu alintambua Magufuli?
 
Kweli kabsaa,kwanza hawalipi kodi,pili wanamshambulia mwenye reli yake.Hawa ni wa kupelekwa jela woteee
 
Kwamba wao sio watanzania, au pesa zilizotumika alizitoa baba yako?.
 
kodi yao imetumika kujengea hiyo reli au umesahau. wewe ndio wale watoto kwenye familia wanatofautianana watoto wenzao baba mmoja halafu wanasema wenzao wasile msosi wa familia kwasababu tu ya tofauti zao ila wote bado wanafamilia.
Huyu ni shetani
 
Unajua imejengwa kwa mkopo?? Malipo ya loan ni Kodi zetu sisi,watu wote bila kujali itikadi za vyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…