Napinga wafuasi wa CHADEMA kupanda treni ya SGR

Ni sawa lkn Mkuuu katika nchi pamoja na kutokubaliana na baadhi ya mambo ya nchii hii wanalipa kodi mkuuu so hata wakipandaa nadhani nao watumia kodi zao mkuuuu,so ukipinga jua kwamba kodi yao ipo
 
Punguza uchizi walipa Kodi wengi sio Wana CCM CCM ni kichaka Cha wakwepa Kodi hiyo treni siyo ya mama Yako ni Kodi zotu pia kumbuka Wana CCM ndio Wana panda TREN bule kifupi nyinyi ndio mnaua mashilika yetu ya uma pumbafu zenu wana CCM wote
 
Duniani hakuna rafiki wa kudumu Wala adui wa kudumu!Watatoa nauli kama vile wewe unavyotoa.
 
Serikali kama ina akili kweli ikae na iangalie namna ya kulinda SGR
Sababu za umeme kukatika juzi na kusababisha safari kusimama zichunguzwe kwa kina na majibu ya uhakika yapatikane

Kumiliki lori au bus siyo sababu ya kuona umemaliza kila kitu
 
Chadema wanampanda hata mama Yako akikaa vibaya
 
Huo mradi pesa zake sio za ccm bali ni za watanzania wote
 
ccm inaungwa mkono na wajinga huyu mmojawapo.mpaka leo ana amini kuwa mawazo mbadala ni uhaini
 
Unaweza tu kuongea ujinga, kazi huna na kodi hulipi
 
Ushahidi uko wapi? Halafu elewa kuwa hao unaowaita wapiga kelele ndo wanoofanya mambo yaende. Acha wabaki CCM pekee yao uone Chawa wewe usiejua siasa ni nn! CCM wao ndiyo maana wanang'ang'ania wabaki pekee yao ili wasifanye Kwa presha ili waishi wanavyotaka. Mimi na upinzani damu damu tunafaidika sana.
 
NI SAWA KABISA. WATAFUTIE PESA YAO ILIYOTUMIKA KTK UJENZI IWE HATA YA MKOPO UWARUDISHIE. MABASI NA NDEGE ZIPO TELE. WATATUMIA KUSAFIRIA. SIKUDHANK NCHI HII INA FIKRA HIZI
 
je kodi zao hamkuchukua
 
Wafuasi wa Chadema wakiongozwa na Mbowe na Lisu wametukana, kupinga na kubagaza sana mradi huu tangu kuanzishwa kwake kwa hiyo kuwaona wakiuongelea au kupanda kwenye treni hii ni kama tusi kwa wazalendo na wapenda maendeleo wa nchi yetu.
Hii treni imenunuliwa kwa kodi za CCM? Mnawazimu sana nyie, mna akili za kipumbavu saaaana
 
Chadema ni malaya

Mlisema hakuna mradi hapo juzi nimeona limoja linakata Tiketi linaenda kwenye mkutano wa Tls

Si mlisema maendeleo ya vitu sio dili Aya pandeni mabus mbwa nyie
Na CCM ni mataahira ndiyo maana hayajui kuwa Reli imejengwa kwa kodi za watanzania wote bila kujali vyama vyao , nguruwe nyie.
 
Ila kodi zao mnazitaka mje kulipia madeni ya SGR? Hivi mi sisiemu mnawa kwakutumia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…