Napingana na Dunia nzima, Kenya inaangamia!

Hata wewe ni typical Mwafrika, unataka kuprove kitu kwa Muzungu hkn kingine, kama ungewajali Wakenya hivyo angalau ungeguswa na gharama na fedha wanazopoteza kwa ujinga tu, fedha ambayo wangewekeza kwenye ustawi wa jamii yao!
Sio kuprove kwa muzungu bali kama kuiga demokrasia ni kuukumbatia uzungu, kwanini tusingeendelea na kingship regimes za kiafrika kuliko kuikimbia haki kwa kisingizio cha gharama.
Kumbuka Kenya ni taifa la kibepari tangu enzi na sifa kuu ya mabepari ni demokrasia si kama sisi na ujamaa wetu tunaoendelea kukumbatia mfumo wa chama kimoja kwa maigizo ya chaguzi kandamizi.
CHEAP IS EXPENSIVE young man. Usipende sana slope. Kwa Karne hii hukupaswa kuwa na mawazo mgando kiasi hiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sifwati mkumbo, najua kinachowasumbua Waafrika wengi ni inferiority complex, Mwafrika anafanya jambo ili asifiwe na Muzungu na kamwe hafanyi kwa manufaa yake na watu wake, ukiangalia Waafrika wote wanashangilia umafia uliofanywa na Mahakama ya Kenya kwa sababu wanataka kuprove kwa Muzungu kwamba nao pia ni Binadamu kwa kigezo cha Muzungu na Raila Odinga kwenye hotuba yake ni kama vile uamuzi huu ni kwa ajili ya kuprove kwa Muzungu kwamba sisi (Waafrika) hatuko wanavyotufikiria!

Kwangu mimi Katiba ya Kenya ni mzigo kwa nchi hiyo, fikiria wanakwenda kufanya Uchaguzi mwingine ndani ya Miezi 3, nani analipia hiyo gharama? Nchi ya Kenya hata chakula kwa watu wake ni shida kwa nini wasiwekeze hiyo fedha hata kwenye Kilimo? I mean matokeo hayatakuwa tofauti Wakikuyu 100% watapigia Uhuru Kenya, sasa kwa nini kupoteza fedha?
Ikumbukwe huyo Raila Odinga alisema ,,this time we will not go to court" na akaendelea kusema haiwezekani Matakwa ya Wakenya yaamuliwe na watu 7 akimasnisha Mahakama, lkn leo hii anasimama na kujigamba kwamba Mahakama ya Kenya imemuonyesha Muzungu kwamba inaweza kutoa haki kwa sababu tu imeamua alivyotaka yeye, vp khs sasa Mamilioni ya Wakenya waliomchagua Uhuru Kenya? Mbona wao wamenyimwa haki yao na watu 7 tu?

Isitoshe kwenye Nchi masikini kama Kenya haiwezekani kuwa na free and fair election kwa 100% ni lazima kutakuwa na matatizo tu, hata huo uchaguzi wa marudio, na Je watarudia chaguzi ngapi? Na nani atalipia hiyo gharama?

Of course kwa Muzungu ni win win situation kwani anapata tenda za kusupply kila kitu kuanzia karatasi za kupigia kura mpaka computer!

Hivyo kwa maoni yangu sijaona chochote cha kufurahia wala kujifunza isipokuwa tu ni Blackman trying to prove his worthy to a whiteman, hkn kingine, hata hotuba ya Raila Odinga baada ya Uamuzi wa Mahakama mlengwa hakuwa Mkenya wa Kibera bali ni international community aka Muzungu!

Fikiria nchi yote imesimama mwaka mzima kufanya uchaguzi usiokwisha, Nairobi stock exchange imesimama, sasa wanaanza Kampeni tena hivyo hkn kazi mpaka 2018, nani analipia hii gharama?

Kenya hali siyo shwari kama mnavyodhania, ndiyo Muzungu atasifu lkn kuna wimbi kubwa la tsunami linakuja upande wenu, Muzungu alitawala Afrika hakuruhusu hiyo Demokrasia mnayojaribu kumridhisha nayo na kulikuwa na sababu kwa nini hakuruhusu huu ujinga kwani maadamu watu bado ni masikini hata mahitaji ya lazima kama chakula hakuna huwezi kuwa na demokrasia, Muzungu anajua kwamba ,,a hungry man is not a free man" , ...
Mkuu, kwakweli wewe ni msomi nimekukubali na uchumi wao utashuka sana,

Mkuu umeandika hoja vizuri na nimekuelewa lakini we unaona sawa ugandamizaji wa democracy?
 
Me nadhani unaandika haya ili kuwaaminisha wanalumumba wenzako kuwa Tz ipo sawa kukandamiza haki na uhuru ktk chaguzi. Lakini juu ya yote, kama umeikubali demokrasia, uwe tayari pia kubeba gharama zake. Ni heri kuendeleza uongozi wa kifalme kama haupo tayari kutenda haki katika uchaguzi. I support Kenyan democracy by 100% . Viva UHURU viva RAO for promoting democracy.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mwana lumumba Pure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tume ya Uchaguzi Kenya Ina cha kujifunza toka Tume ya Uchaguzi Zanzibar ( ZEC)

Kenya Wameiga Ndugu zao wa Zanzibar kurudia Uchaguzi baada ya Dosari kadhaa japo Kenya ikisubiriwa Mahakama ndio iamue

Zanzibar Comrade Mwana Mapinduzi Mzalendo Jasiri Jecha Salim Jecha aliamua kurudia baada ya kuona Mapungufu kadhaa!

Tume ya Uchaguzi Kenya ingeiga ya Zanzibar ambayo haikusubiri kuburuzwa Mahakamani ilipoona tu Dosari ikarudia Uchaguzi
Where when did you learn upuuzi huu? Twisted ehh?
 
Viongozi wa africa wanachojali ni maslahi yao na si maslahi ya TAIFA....ila NATABIRI VURUGU ZITATOKEA HAPO..ni BORA UHURU aendelee na USHINDI KTK MARUDIO HAYO YA UCHAGUZI....lakini AKIJA KUSHINDA RAILA nae pia hatokubali hapo ndy shida itakapoanza.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Demokrasia ina gharama kubwa, sio cheap-Prof Haroub Othman (RIP) nyinyi endeleeni kutuburuza Kaka ila Wajukuu zenu watakuja kufukua makaburi yenu ili wapime DNA kama kweli mlikua mna uhusiano nao!

Sidhani kama watapima DNA kujua kama tulikuwa tuna uhusiano nao Bali watapima DNA kutaka kujua tuli relate zaidi na mnyama yupi ki akili sorry to say that.
 
Hata wewe ni typical Mwafrika, unataka kuprove kitu kwa Muzungu hkn kingine, kama ungewajali Wakenya hivyo angalau ungeguswa na gharama na fedha wanazopoteza kwa ujinga tu, fedha ambayo wangewekeza kwenye ustawi wa jamii yao!
Kwa hiyo ww unaona hapo ni mzungu anaye ridhishwa?

Vipi kuhusu msanduku ya kura na karatasi zilizokwenda kutupwa?

Hivi na ww kama mwafrika ulivyo ona makinikia wanayashkilia kwann hukutoa ushauri huu kwasabb itaingiza taifa kwenye deni kubwa? Na pesa hizo zingekwenda kusupply dawa Hosp ?

Vipi kuhusu bombadia mbona hukushauri?

Vipi kuhusu Zanzibar mbona hukushauri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I thought observers wote wazungu ndo walisema uchaguzi ulikua huru na sawa ,
Sasa unasema tunajiprove kwa wazungu

2013 wazungu walisema kenya wasimchague Uhuru juu ya kesi za ICC ,mabalozi wengine wakitamka wazi kwamba hawamtaki Uhuru
Hadi Balozi wa uingereza alitamka "choices have consequences "
 
Sina kuchangia endelea kupingana na dunia nzima kwa hoja zako hizi za ovyo kabisa yaani kama vile hujui maana ta mahakama kwa kuwa tu umezoea uchaguzi wetu hata kama taratibu zikikiukwa akitamka Lubuva na yule mpuuzi wa Zenji baaasi nuna kwa miaka mitano kusubiri uchaguzi mwingine!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachoamini mimi ni kua bado Kenyata atakwenda Ikulu

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
...Kumbuka Kenya ni taifa la kibepari tangu enzi na sifa kuu ya mabepari ni demokrasia...
Hakuna cha ubepari wala nini, sema tu wakenya wamejifunza baada ya kucharangana mapanga 2007. Uhuru naye kajirudi baada ya kuponea chupuchupu ICC.
 
Hata wewe ni typical Mwafrika, unataka kuprove kitu kwa Muzungu hkn kingine, kama ungewajali Wakenya hivyo angalau ungeguswa na gharama na fedha wanazopoteza kwa ujinga tu, fedha ambayo wangewekeza kwenye ustawi wa jamii yao!
Mkuu kwahiyo wewe kwako fedha inathamani kuliko uhai wa wanadam?/kumbuka kilichotokea Kenya 2007 kama na kilitokea vile kwa sababu hakukuwa na katiba iliyo bora,ila sasa wamerekebisha na ndio maana umeyaona hayo yaliyotukia.Fedha makaratasa hasara roho bana we vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata wewe ni typical Mwafrika, unataka kuprove kitu kwa Muzungu hkn kingine, kama ungewajali Wakenya hivyo angalau ungeguswa na gharama na fedha wanazopoteza kwa ujinga tu, fedha ambayo wangewekeza kwenye ustawi wa jamii yao!
Hapa Kenya watu wengi wameuawa kwa sababu ya demokrasia. Na bado Wakenya wengi wako tayari kukufa Ili tu wailinde demokrasia. Wewe unaona kama hio ni ujinga, sisi tunaona demokrasia ni muhimu sana. Halafu mambo ya pesa isikusumbue akili kwani Kenya sio nchi masikini. Tutapata pesa virahisi tu wewe kaa kitako ungoje miezi miwili tuone kama Kenya haitapata hio pesa unayolialia hapa kuhusu.
 
Kwa hiyo ww unaona hapo ni mzungu anaye ridhishwa?

Vipi kuhusu msanduku ya kura na karatasi zilizokwenda kutupwa?

Hivi na ww kama mwafrika ulivyo ona makinikia wanayashkilia kwann hukutoa ushauri huu kwasabb itaingiza taifa kwenye deni kubwa? Na pesa hizo zingekwenda kusupply dawa Hosp ?

Vipi kuhusu bombadia mbona hukushauri?

Vipi kuhusu Zanzibar mbona hukushauri?

Sent using Jamii Forums mobile app

Na ndiyo maana ukisoma utaona kuna kahali nimesema kwenye masikini kama hizi zetu huwezi kuwa na 100% free and fair election hata ufanye nini ni lazima kutakuwa na matukio kama hayo, sasa kama kila mtu akikata rufaa utarudi chaguzi ngapi? Kuna sababu kwa nini hata Wazungu wenyewe wkt wanatawla Afrika hawakuruhusu huu ujinga!

Nimesoma mahali Uchaguzi wa Kenya umegharimu 0.5 billion US dollars sasa baada ya miezi mitatu wanatumia tena kiasi hichi hicho cha fedha, hii ni fedha nyingi sana kwenye nchi ambayo hata chakula watu hawana!
 
Sina kuchangia endelea kupingana na dunia nzima kwa hoja zako hizi za ovyo kabisa yaani kama vile hujui maana ta mahakama kwa kuwa tu umezoea uchaguzi wetu hata kama taratibu zikikiukwa akitamka Lubuva na yule mpuuzi wa Zenji baaasi nuna kwa miaka mitano kusubiri uchaguzi mwingine!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa kama hauna cha kuchangia mbona tayari umechangia?
 
Hapa Kenya watu wengi wameuawa kwa sababu ya demokrasia. Na bado Wakenya wengi wako tayari kukufa Ili tu wailinde demokrasia. Wewe unaona kama hio ni ujinga, sisi tunaona demokrasia ni muhimu sana. Halafu mambo ya pesa isikusumbue akili kwani Kenya sio nchi masikini. Tutapata pesa virahisi tu wewe kaa kitako ungoje miezi miwili tuone kama Kenya haitapata hio pesa unayolialia hapa kuhusu.

Swala siyo kupata pesa, najua pesa ipo lkn swala ni unaitumiaje hiyo pesa? Kenya watu hata Ugali wanashindwa kupata, unajua Ugali ni chakula simple kkl vyote Duniani yaani ni maji tu hakuna mafuta, chumvi wala kiungo chochote kile yaani ukiondoa matunda ya porini hakuna chakula simple kama hicho lkn bado watu hawawezi kumudu na wanakufa halfu hiyo nchi inatumia 1 billion USD ndani ya miezi 3 kufanya uchaguzi ambao hata hivyo matokeo yanajulikana, huo ni UJINGA!
 
Back
Top Bottom