Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Napitia Mamiuvu makali sana kwenye moyo, akili na roho
Nisiseme mengi. Tuko kwenye mahusiano ya kimapenzi, japo si ya wazi. Imebaki kuwa siri yangu mimi na yeye. Yuko na room yake (ni single mother), nami niko na room yangu (bachelor, muandamizi kikosi no 666, batch ya kataa ndoa). Huwa tukihitaji kutafunana, huwa anakuja kwenye room yangu at night
Huwa sipendi kuweka wazi kwa marafiki au hata majirani kwa kuhofia maneno maneno. Hivyo hata nikiulizwa kama nina mazoea nae, huwa nakataa kata kata
Leo asubuhi, jirani yangu mmoja ambaye nimezoeana nae kanipa dodoso kuwa usiku wa jana alimpapasa sana huyo mwanamke. Ingawa anadai kuwa siku za nyuma alikuwa akijaribu kumuelezea hisia zake kwa sana japokuwa mwanamke huyo hakumuelewa kabisaaa
Anaendelea kujisifia kuwa ametumia mara Real Man Technic, mara njia ya kumchojora, mara njia ya kumuhepa, yaani na masifa kibao. Amemtambia pia kuwa ana pesa nyingi sana ilihali maisha yake ni unga unga mwana. Yaani kamteka haswa. Anakwambia kama angeendelea kukaza kama dakika mbili mbele angekula kimasihara maake bibie alikuwa kashalegeza hadi kanga.
Nampenda sana kiasi kwamba sitaki hata ajue kama ukweli nishaupata. Yaani nahisi Mola hakuniandikia faraja katika maisha yangu. Kwanini lakini? Nahisi mamiuvu ndugu zanguni😥
Nipeni japo faraja😥😥