Napitia maumivu makali sana ya moyo

Napitia maumivu makali sana ya moyo

Tafuta pia nyimbo ya daimond inaitwa "kizaizai" itakupa farajaa mkuuu.

KATAA NDOAA...
 
Niliona watu wataanza kureason kwanini nakimbilia single maza ilihali bado damu yangu mbichi sana na kitaa kina mabinti wazuri wengi kumzidi huyu mwanamke kana kwamba wanakosa hata wachumba

Nilihofia jamii mkuu. Moyo unauma sana. Nahisi basi tu yaani sielewi kabisa. Nikimuona anavyonichangamkia ndo nahisi kulia. Naamini kuna siku jamaa atamla kabisa. Kama ameshampitisha vidole huko shimoni, kipi kitafuata? [emoji26]
Hapo n jamaa atajipigiaa na Bado baba wa mtt japo wameachana atakuja kujipigia ukionaa na utafanya kitu mkuu [emoji23][emoji1787][emoji23]

Kama VP Rudi ukuu Kwa wazee wa kataa NDOA tupo tunakusubiri ujachelewa..
 
Niliona watu wataanza kureason kwanini nakimbilia single maza ilihali bado damu yangu mbichi sana na kitaa kina mabinti wazuri wengi kumzidi huyu mwanamke kana kwamba wanakosa hata wachumba

Nilihofia jamii mkuu. Moyo unauma sana. Nahisi basi tu yaani sielewi kabisa. Nikimuona anavyonichangamkia ndo nahisi kulia. Naamini kuna siku jamaa atamla kabisa. Kama ameshampitisha vidole huko shimoni, kipi kitafuata?
Jamani, pole sana mkuu.
 
Ukidate na single mother,umedate na MKE wa mtu
 
Napitia Mamiuvu makali sana kwenye moyo, akili na roho

Nisiseme mengi. Tuko kwenye mahusiano ya kimapenzi, japo si ya wazi. Imebaki kuwa siri yangu mimi na yeye. Yuko na room yake (ni single mother), nami niko na room yangu (bachelor, muandamizi kikosi no 666, batch ya kataa ndoa). Huwa tukihitaji kutafunana, huwa anakuja kwenye room yangu at night

Huwa sipendi kuweka wazi kwa marafiki au hata majirani kwa kuhofia maneno maneno. Hivyo hata nikiulizwa kama nina mazoea nae, huwa nakataa kata kata

Leo asubuhi, jirani yangu mmoja ambaye nimezoeana nae kanipa dodoso kuwa usiku wa jana alimpapasa sana huyo mwanamke. Ingawa anadai kuwa siku za nyuma alikuwa akijaribu kumuelezea hisia zake kwa sana japokuwa mwanamke huyo hakumuelewa kabisaaa

Anaendelea kujisifia kuwa ametumia mara Real Man Technic, mara njia ya kumchojora, mara njia ya kumuhepa, yaani na masifa kibao. Amemtambia pia kuwa ana pesa nyingi sana ilihali maisha yake ni unga unga mwana. Yaani kamteka haswa. Anakwambia kama angeendelea kukaza kama dakika mbili mbele angekula kimasihara maake bibie alikuwa kashalegeza hadi kanga.

Nampenda sana kiasi kwamba sitaki hata ajue kama ukweli nishaupata. Yaani nahisi Mola hakuniandikia faraja katika maisha yangu. Kwanini lakini? Nahisi mamiuvu ndugu zanguni[emoji26]

Nipeni japo faraja[emoji26][emoji26]
Kumtambulisha mpenzi wako kwa wana ni ulinzi na unaweka mipaka wasicross the boundaries. Pia unaepusha kukosana na wana in future. Ukificha mwana anapiga mzigo anakolea anaoa unabaki na hasira na chuki juu ya wanawake. Wanawake hawapendi kufanywa bangi
 
Huyo mpenzi wako ni mtu wa hovyo, Ingekuwa ulifanya wazi jamaa angemtafuna bila wewe kujua.

Cha msingi tafuta binti unaeweza kumwoa, hiyo kataa ndoa unayosema ni falsafa yako unaigiza tu.
 
Kalegeza Khanga..? Na kamuacha tu? Huyo jamaa nae Muongo muongo..
 
Afadhali kabambiwa wakati hujamuoa,Kuna wajuzi utaskia ungeoa,wasichojua ni kwamba walioolewa wengi ndio maharage ya mbeya skuizi,tena wanajiangusha penati box kinoma
 
Napitia Mamiuvu makali sana kwenye moyo, akili na roho

Nisiseme mengi. Tuko kwenye mahusiano ya kimapenzi, japo si ya wazi. Imebaki kuwa siri yangu mimi na yeye. Yuko na room yake (ni single mother), nami niko na room yangu (bachelor, muandamizi kikosi no 666, batch ya kataa ndoa). Huwa tukihitaji kutafunana, huwa anakuja kwenye room yangu at night

Huwa sipendi kuweka wazi kwa marafiki au hata majirani kwa kuhofia maneno maneno. Hivyo hata nikiulizwa kama nina mazoea nae, huwa nakataa kata kata

Leo asubuhi, jirani yangu mmoja ambaye nimezoeana nae kanipa dodoso kuwa usiku wa jana alimpapasa sana huyo mwanamke. Ingawa anadai kuwa siku za nyuma alikuwa akijaribu kumuelezea hisia zake kwa sana japokuwa mwanamke huyo hakumuelewa kabisaaa

Anaendelea kujisifia kuwa ametumia mara Real Man Technic, mara njia ya kumchojora, mara njia ya kumuhepa, yaani na masifa kibao. Amemtambia pia kuwa ana pesa nyingi sana ilihali maisha yake ni unga unga mwana. Yaani kamteka haswa. Anakwambia kama angeendelea kukaza kama dakika mbili mbele angekula kimasihara maake bibie alikuwa kashalegeza hadi kanga.

Nampenda sana kiasi kwamba sitaki hata ajue kama ukweli nishaupata. Yaani nahisi Mola hakuniandikia faraja katika maisha yangu. Kwanini lakini? Nahisi mamiuvu ndugu zanguni😥

Nipeni japo faraja😥😥
Ndo matokeo ya mahusiano ya sirini hayo.
 
Wewe ni mwanachama wa kataa ndoa dhaifu sana unatutia aibu. Unapata stress kwaajili ya mwanamke tena single mama??
 
Yaani mkuu hata sijielewi kabisa, yaani najikuta nampenda tu bure. Na hata hivyo ukweli anaujua sana tu, sometimes na vizawadi huwa nampa

Nowdays natamani hata nilale nje na nyumbani. Jana usiku nimerudi nimechelewa na umeme ulikatika. Ile kufika nawakuta wakiwa watatu, huyu jamaa rafiki yangu, mpenzi wangu, na binti mwingine hivi wanaoneshana nyota, mazungumzo wanayoingizia yakawa yananitia sana mashaka. Ikabidi niweke earphone masikioni japokuwa nilikuwa navisikia vicheko vyao kwa mbali, japo walinialika nijumuike nao kwenye stori lakini sikuweza, nilikuwa naona tu sms za huyo mwanamke zinaingia kwenye simu huku ananiuliza kuwa mbona leo ni kama vile siko sawa? Mpaka umeme unarejea mida ya saa 5 ndo watu wanatoka nje

Kuna muda hadi napatwa na kwikwi mzito, muda mwingine nazubaa, watu wameanza kunambia siku hizi najaribu kuzungumza peke yangu. Naumia sana tu
 
Pole sana ndugu yangu, mpaka hapo umekamatika na ukweli ni kwamba huna ubavu wa kuikataa ndoa unaigiza tu.
 
Kumbe na KATAA NDOA huwa wanaumizwa🤣🤣🤣🤣
 
MAumivu yako sidhani kama n kwa ajili ya mapenzi, nahisi n kwa sababu labda ulivotembelea hyo nyumba mguu wako n mdogo uliishia mlangoni, lakn hiyo rafiki yako anawezekana anavaa viatu sawa na wacheza kikapu wa marekani so akiweka mguu tu tayari kashavuka chumbani yuko stoo.

ZINGATIA TAFSIDA
 
Back
Top Bottom