Napitia maumivu makali sana ya moyo

Tafuta pia nyimbo ya daimond inaitwa "kizaizai" itakupa farajaa mkuuu.

KATAA NDOAA...
 
Hapo n jamaa atajipigiaa na Bado baba wa mtt japo wameachana atakuja kujipigia ukionaa na utafanya kitu mkuu [emoji23][emoji1787][emoji23]

Kama VP Rudi ukuu Kwa wazee wa kataa NDOA tupo tunakusubiri ujachelewa..
 
Jamani, pole sana mkuu.
 
Ukidate na single mother,umedate na MKE wa mtu
 
Kumtambulisha mpenzi wako kwa wana ni ulinzi na unaweka mipaka wasicross the boundaries. Pia unaepusha kukosana na wana in future. Ukificha mwana anapiga mzigo anakolea anaoa unabaki na hasira na chuki juu ya wanawake. Wanawake hawapendi kufanywa bangi
 
Huyo mpenzi wako ni mtu wa hovyo, Ingekuwa ulifanya wazi jamaa angemtafuna bila wewe kujua.

Cha msingi tafuta binti unaeweza kumwoa, hiyo kataa ndoa unayosema ni falsafa yako unaigiza tu.
 
Kalegeza Khanga..? Na kamuacha tu? Huyo jamaa nae Muongo muongo..
 
Batch number 666 kataa ndoa au sio😂😂
 
Afadhali kabambiwa wakati hujamuoa,Kuna wajuzi utaskia ungeoa,wasichojua ni kwamba walioolewa wengi ndio maharage ya mbeya skuizi,tena wanajiangusha penati box kinoma
 
Ndo matokeo ya mahusiano ya sirini hayo.
 
Wewe ni mwanachama wa kataa ndoa dhaifu sana unatutia aibu. Unapata stress kwaajili ya mwanamke tena single mama??
 
Wewe ni mwanachama wa kataa ndoa dhaifu sana unatutia aibu. Unapata stress kwaajili ya mwanamke tena single mama??
Yaani mkuu hata sijielewi kabisa, yaani najikuta nampenda tu bure. Na hata hivyo ukweli anaujua sana tu, sometimes na vizawadi huwa nampa

Nowdays natamani hata nilale nje na nyumbani. Jana usiku nimerudi nimechelewa na umeme ulikatika. Ile kufika nawakuta wakiwa watatu, huyu jamaa rafiki yangu, mpenzi wangu, na binti mwingine hivi wanaoneshana nyota, mazungumzo wanayoingizia yakawa yananitia sana mashaka. Ikabidi niweke earphone masikioni japokuwa nilikuwa navisikia vicheko vyao kwa mbali, japo walinialika nijumuike nao kwenye stori lakini sikuweza, nilikuwa naona tu sms za huyo mwanamke zinaingia kwenye simu huku ananiuliza kuwa mbona leo ni kama vile siko sawa? Mpaka umeme unarejea mida ya saa 5 ndo watu wanatoka nje

Kuna muda hadi napatwa na kwikwi mzito, muda mwingine nazubaa, watu wameanza kunambia siku hizi najaribu kuzungumza peke yangu. Naumia sana tu
 
Pole sana ndugu yangu, mpaka hapo umekamatika na ukweli ni kwamba huna ubavu wa kuikataa ndoa unaigiza tu.
 
Kumbe na KATAA NDOA huwa wanaumizwa🤣🤣🤣🤣
 
MAumivu yako sidhani kama n kwa ajili ya mapenzi, nahisi n kwa sababu labda ulivotembelea hyo nyumba mguu wako n mdogo uliishia mlangoni, lakn hiyo rafiki yako anawezekana anavaa viatu sawa na wacheza kikapu wa marekani so akiweka mguu tu tayari kashavuka chumbani yuko stoo.

ZINGATIA TAFSIDA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…