majam19
JF-Expert Member
- Nov 13, 2024
- 900
- 971
Nianze Kwa kumshukuru mungu Kwa kutupa afya na kherii tele. Mimi ni kijana mwenye umri26 Kuna Binti nilikua na urafiki wa mda mrefu sana hata zaidi ya mwaka na nusu tulikua tunasaidiane kwenye changamoto za hapa na pale na kama unavyojua ukaribu uleta upendo.
Basi moyo wangu ukamlizia Kwa roho Moja imenibidi nmfungukie kuwa nampenda ila hapo ndyo utata na chanz cha matatizo demu hajanionyeshea dalili ya kutokunipenda Hadi kunamda ananipigia simu kuwa amenimisi na anahitaji tuonane pia nkamueleza kuwa nataman awe mke wangu (nimuoe)yeye ananijibu kuwa anamuachia mungu kwenye ILO akinaanisha Hana maamuzi.
Kisha akaniambia yeye yupo kweny mahusiano ambayo hayaelewi nkamuliza sababu anasema yupo na mtu ambaye wapo dini tofauti na n mda umenipita sas hawajapata suluhu alivyoniambia hivyo ilinibidi nimongezee bidii za kumjali, kumfariji ila Leo nmekuja kujua uyo jamaa aleyekuwanae kweny mahusiano ni mmoja wa marafiki zangu ingawa hatuna ukaribu kivile.
imeniuma sana na Binti nmemwambia anisahau kabisa ingawa moyoni mwake ameumia sanaa na nampenda sana. Ushauri naombeni huenda naweza kupata muafaka kupitia mawazo yenu wakurungwa, wakomavu.