Napitia wakati mgumu kwenye mahusiano

Kisha akaniambia yeye yupo kweny mahusiano ambayo hayaelewi nkamuliza sababu anasema yupo na mtu ambaye wapo dini tofauti na n mda umenipita sas hawajapata suluhu alivyoniambia hivyo ilinibidi nimongezee bidii za kumjali, kumfariji
Anakuambia yupo kwenye mahusiano na mtu mwingine, wewe ndo unaongeza upendo badala ya kukimbia

Mimi nakushauri uendelee kuingia kwenye mahusiano upate uzoefu wa kutosha
 
Tumia ile kwanuni inasema

'Ukipalilia bustani yako vizuri basi vipepeo watakuja tu '

At ur age 26 wekeza katika wewe zaidi na sio wanawake.

Peoples are pretenders so trust no body .
 
Sasa kwa nini umemuacha wakati yuko kwenye mahusiano yasiyoeleweka
 
Nmeona haelewek ushaur wa wengi n Bora niangalie mambo yang ntafute ela
 
Mi naomb ushaur kwanza maan kwass hatuongei nmemwambia aangalie mambo yake
 
Nacheka kama mazuri vile, mapenzi pasua kichwa kweli, achana naye kausha mkikutana salaam pita hivi, usijenge naye mazoea tena utaendelea kuumia wewe.
 
Tulia ukomae kwanza, miaka 26 unakimbilia nini kuoa?, bado huwezi hata kuvumilia stress ndogo kama hizi za mapenzi. Unatafuta sababu za kujiua baadae ukipigwa tukio kwenye ndoa?.
Sante sanaa Kwa ushaur mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…