Napitia wakati mgumu

u
unamwamini Mungu .kama unaamini alisulubiwa akafufuka Yesu Kristo

nitumie jina lako pm ..utapona
 
Pole sana! Ebu njoo pm!
 
Aisee wakati naanza kusoma nlidhani ni member fulani kabadili ID ili alete kisa chake ila baadaye nikaja kuhundua siyo yete maana yeye hali yake ni worse than yours na anapitia kipindi kigumu ila humu anavyochanhia huwezi kujua jamani yule binti.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… so kama mtu anapitia kitu fulani basi ndo asisocialize? kwani we ni nani mpaka umpangie mtu maisha yake jamani
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… so kama mtu anapitia kitu fulani basi ndo asisocialize? kwani we ni nani mpaka umpangie mtu maisha yake jamani
Kumbe kusoma na kuelewa ni vitu viwili tofauti. Nadhani hata hujaelewa nilichoandika
 
Njoo pm nikwambie kitu😊nataka nikuombe kiroho na kimwili wahi pm dear
 
Ulielekezwa na Lamomy au Labella.
Au wote wawili?. na mimi nataka wanielekeze.
 
Kwanza pole, pia nakupongeza kwa hatua na jitihada unazochukua kuhakikisha unapata afya njema ili uwe na mchango kwa familia yako na Taifa.

Mimi ni mganga wa mitishamba au Herbalist.

Kwa utaalam mdogo nikushauri onana na Daktari Bingwa wa Mishipa na Fahamu a.k.a Neurologist au Neurosurgeon.

Kama utafika Dar Es Salaam ulizia Dr Njenje au Uende MOI.

Nakutakia afya njema wako ktk Kazi kulijenga Taifa.

Tundu Lissu Hoyeeee!! Mzalendo Namba Moja
 
Pole Sana... Kisa chako kinafanana na changu pia... Cha muhimu ni kujikubali tu kwamba umeshakuwa hivyo na uishi kulingana na Hali yako.

Binafsi nilizunguka mahospitali yote makubwa TZ bila mafanikio.. mwisho nikaambiwa nikubaliane na Hali hiyo na nifanyiwe counseling ili niendelee tu na maisha.

Kama inawezekana tuwasiliane zaidi.
 
Amen Amen, sifa na utukufu una yeye aliyeziumba mbingu na nchi πŸ₯°πŸ™

Nafurahi sana kwa feedback km hii nakumbuka nilianza kufunga kwaajili yako, Mungu wetu si kiziwi hata asisikie hatimaye alitujibu sawa sawa na maombi na sala zetu…!!

Nilikuwa nakukumbusha kila mara ufunge kwa imani najua ulinishangaa kutokana na nilivyo mtu wa masihara jukwaani πŸ˜‚ (Ila ukaamua kujaribu, Mungu umtumia yeyote akitaka kuonyesha ukuu wake)
Lakini nguvu mbaya imeshindwa na Mungu kaonyesha ukuu wake..!!!
 
Aisee wakati naanza kusoma nlidhani ni member fulani kabadili ID ili alete kisa chake ila baadaye nikaja kuhundua siyo yete maana yeye hali yake ni worse than yours na anapitia kipindi kigumu ila humu anavyochanhia huwezi kujua jamani yule binti.
Ni lazima ajichanganye, akikaa kinyonge maradhi hayatamuacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…