Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
WellAmen Amen, sifa na utukufu una yeye aliyeziumba mbingu na nchi 🥰🙏
Nafurahi sana kwa feedback km hii nakumbuka nilianza kufunga kwaajili yako, Mungu wetu si kiziwi hata asisikie hatimaye alitujibu sawa sawa na maombi na sala zetu…!!
Nilikuwa nakukumbusha kila mara ufunge kwa imani najua ulinishangaa kutokana na nilivyo mtu wa masihara jukwaani 😂 (Ila ukaamua kujaribu, Mungu umtumia yeyote akitaka kuonyesha ukuu wake)
Lakini nguvu mbaya imeshindwa na Mungu kaonyesha ukuu wake..!!!