Napoteza hamu ya mahusiano muda mfupi baada ya kuyaanzisha. Je, hii ni hali ya kawaida?

Napoteza hamu ya mahusiano muda mfupi baada ya kuyaanzisha. Je, hii ni hali ya kawaida?

1)Jilazimishe tu kutuma sms jioangie hata timetible basi japo mambo yaende tu hivyohivyo

2)Ukitafuta sababu ya msingi ndio umcheki mpenzi utakosa kumpigia huyo mpenzi hadi unakufa...hakunaga sababu ya msingi ya kuwasiliana na mpenzi mapenzi Ni randomly convo Cha kuongelea kinapatokana Happ Happ baada ya kupiga simu/text
Point ya pili nmeilewa hadi nmepitiliza [emoji2935][emoji2935]
 
Back
Top Bottom