Eti eeh..kwani timu ni kabila bana..cha kufia nini? Hongera mkuu,mimi ngoja nisikilizie kwanza..Mimi pia nilikua Simbasport club,sio kama shabiki tu,Bali mwanachama kadi Namba 1246..ila baadae nikaona nitakufa kwa preshaa now nimehamia timu ya wananchi ,raha kila weekend hadi mwili umerudi.karibu sana kolo matatizo hayakumbatiwi kimbiaaaa
Halafu cha ajabu wameshindwa hata kumfikisha mahakamani MO na madam, waacheni wapige kelele Ila MO na Barbara walitoa gizani simba, wanachikiwa kwa sababu walidhibiti upigaji 😂😂"MO & Barbara wametuharibia timu," hakika watanzania hamna shukurani, mafanikio yote kwa miaka 4 ya MO leo mnasema kaiharibu timu.
Mtani siku hizi umekuwa mpole mpaka raha yaani.Hamna shabiki wa Simba hapo....huyo ni Uto..lialia.
Teh teh teh 😂😂😂 huu mzunguko wa pili huenda ukaturudishia furaha wana msimbazi..😂😂Mtani siku hizi umekuwa mpole mpaka raha yaani.
Enzi zile mnachukua ubingwa mfululizo hukuwa hivi ujue. 🤣
Dooh! We ota tu ukija amka points 10 nyuma. Teh teh 🤣Teh teh teh 😂😂😂 huu mzunguko wa pili huenda ukaturudishia furaha wana msimbazi..😂😂
Usichelewe nafasi zikajaa nasikia madam CEO nae anahamia kwa mabingwa wa kihistoria,,utaniambia miezi mitatu hii Babra asipo kua na shape kama sanchoka,nipo pale jangwani uje uniite Jina..Eti eeh..kwani timu ni kabila bana..cha kufia nini? Hongera mkuu,mimi ngoja nisikilizie kwanza..
Hizi ni roho za kike,sidhani kama mwanaume wa kweli anaweza kuishi bila msimamo kama wewe.Mimi pia nilikua Simbasport club,sio kama shabiki tu,Bali mwanachama kadi Namba 1246..ila baadae nikaona nitakufa kwa preshaa now nimehamia timu ya wananchi ,raha kila weekend hadi mwili umerudi.karibu sana kolo matatizo hayakumbatiwi kimbiaaaa
Ya kwako ndio roho ya kike,una wivu,MANENO,husda,baki ulipo haina shida ila muache tu masikitiko mmechagua wenyewe..hamuamini macho yenuHizi ni roho za kike,sidhani kama mwanaume wa kweli anaweza kuishi bila msimamo kama wewe.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Wewe Utopolo lia lia mambo ya Simba yanakuhusu vipi?Tunaumia sisi mashabiki
Kwanza huyu ni Utopolo,wewe mfuatilie kwa post zake utamjua tu.Hapa anajiona mjanja kupretend kuwa Shabiki wa SimbaKabla haujajiuzulu. Kwa mwaka huu umechangia Simba Shs ngapi? Maana mpira ni Pesa na sio maneno
Huyo mbona ni utopolo mwenzenu siku zoteHamia Yanga tu kiongozi..!!
Mtani huyo ni wale walizoea kuiba mapato ya milango kwa jina la Komandoo.
Yeye ndio mdhaminiKabla haujajiuzulu. Kwa mwaka huu umechangia Simba Shs ngapi? Maana mpira ni Pesa na sio maneno
Hahahaaa. Haya bana Mtani. 🙏Mtani huyo ni wale walizoea kuiba mapato ya milango kwa jina la Komandoo.
Anasumbuliwa na njaa tu hana lolote😂😀🤣
Nilidhani una sababu ya msingi...Tunakoelekea sio kuzuri na jitihada za kujinasua sioni. Mashabiki tunajaribu kuzungumza hatusikilizwi.
Nashukuru Barbara katoka bado moo, ili tuanze upya hawa wametuharibia timu yetu.
Nachukia kuitwa ngada fc