Napumzika kuishabikia Simba

Napumzika kuishabikia Simba

Mimi pia nilikua Simbasport club,sio kama shabiki tu,Bali mwanachama kadi Namba 1246..ila baadae nikaona nitakufa kwa preshaa now nimehamia timu ya wananchi ,raha kila weekend hadi mwili umerudi.karibu sana kolo matatizo hayakumbatiwi kimbiaaaa
Eti eeh..kwani timu ni kabila bana..cha kufia nini? Hongera mkuu,mimi ngoja nisikilizie kwanza..
 
"MO & Barbara wametuharibia timu," hakika watanzania hamna shukurani, mafanikio yote kwa miaka 4 ya MO leo mnasema kaiharibu timu.
Halafu cha ajabu wameshindwa hata kumfikisha mahakamani MO na madam, waacheni wapige kelele Ila MO na Barbara walitoa gizani simba, wanachikiwa kwa sababu walidhibiti upigaji 😂😂
 
Eti eeh..kwani timu ni kabila bana..cha kufia nini? Hongera mkuu,mimi ngoja nisikilizie kwanza..
Usichelewe nafasi zikajaa nasikia madam CEO nae anahamia kwa mabingwa wa kihistoria,,utaniambia miezi mitatu hii Babra asipo kua na shape kama sanchoka,nipo pale jangwani uje uniite Jina..
 
Mimi pia nilikua Simbasport club,sio kama shabiki tu,Bali mwanachama kadi Namba 1246..ila baadae nikaona nitakufa kwa preshaa now nimehamia timu ya wananchi ,raha kila weekend hadi mwili umerudi.karibu sana kolo matatizo hayakumbatiwi kimbiaaaa
Hizi ni roho za kike,sidhani kama mwanaume wa kweli anaweza kuishi bila msimamo kama wewe.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Kwenye huu uzi kuna wajinga wa utopolo wanaigiza kama mashabiki wa Simba.

Kwa fani ya uigizaji tu utopolo hamjambo.
Mnaigiza boli na hadi ushabiki?!

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Kabla haujajiuzulu. Kwa mwaka huu umechangia Simba Shs ngapi? Maana mpira ni Pesa na sio maneno
Kwanza huyu ni Utopolo,wewe mfuatilie kwa post zake utamjua tu.Hapa anajiona mjanja kupretend kuwa Shabiki wa Simba
 
Mtani huyo ni wale walizoea kuiba mapato ya milango kwa jina la Komandoo.

Anasumbuliwa na njaa tu hana lolote😂😀🤣
Hahahaaa. Haya bana Mtani. 🙏

Japo sisi hatuna hiyana siku ukiona ya huko mazito karibu kwa Wananchi.
 
Tunakoelekea sio kuzuri na jitihada za kujinasua sioni. Mashabiki tunajaribu kuzungumza hatusikilizwi.

Nashukuru Barbara katoka bado moo, ili tuanze upya hawa wametuharibia timu yetu.

Nachukia kuitwa ngada fc
Nilidhani una sababu ya msingi...
Wewe simba itafaidika kwa kutokuwepo kwako...
Good riddance!
 
Back
Top Bottom