Kama unachukia kuitwa Ngada Fc, basi uendelee kuitwa Mbumbumbu Fc.Tunakoelekea sio kuzuri na jitihada za kujinasua sioni. Mashabiki tunajaribu kuzungumza hatusikilizwi.
Nashukuru Barbara katoka bado moo, ili tuanze upya hawa wametuharibia timu yetu.
Nachukia kuitwa ngada fc
Kawekeza fedha zakoSio fadhila hamna uwekezaji wowote wamefanya wanatudanganya na hela za pipi huku wanabeba pakubwa wakiambiwa wanasusa kututisha watuachie timu yetu tujipange upya
Jua liwake mvua inyeshe kamwe maji hayatopanda mlimaπ€£π€£. Bora niende kulima mpunga kwa kina IhefuπππHahahaaa. Haya bana Mtani. π
Japo sisi hatuna hiyana siku ukiona ya huko mazito karibu kwa Wananchi.
Hahahaa. Haya π€ Mtani.Jua liwake mvua inyeshe kamwe maji hayatopanda mlimaπ€£π€£. Bora niende kulima mpunga kwa kina Ihefuπππ
Heri ya Christmass na Mwaka 2023 mtaniHahahaa. Haya π€ Mtani.
Shukran sana Mtani na kwako pia. πHeri ya Christmass na Mwaka 2023 mtani
Kinyesi fc huyo wala sio simba"MO & Barbara wametuharibia timu," hakika watanzania hamna shukurani, mafanikio yote kwa miaka 4 ya MO leo mnasema kaiharibu timu.
Kinyesi fc mwenzenu huyoKama unachukia kuitwa Ngada Fc, basi uendelee kuitwa Mbumbumbu Fc.
Shukran sana Mtani na kwako pia. π
Leo ndio leo mtani tukiwa tunaisubiri 2023 karibu tujumuike kwa Christmass aka ChrismasShukran sana Mtani na kwako pia. π
Nipo kusubiria mwaliko. ππ Teh teh.