Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni Hanuman,patron wa wafanyakazi, believed to be immortal. Yaani bado yupo hai after all these thousands of years.
Hawa walioandika hii stori,hiyo ndiyo falsafa yao,there is nothing new under the sun.Hakuna jipya chini ya jua,,,.issue ni kwamba kwa kipindi utakachoishi juu ya hili tufe utabahatika kujua mangapi kati ya mengi yaliyopo.
Maisha yamejaa theory nyingi sana na zinafanya kazi kuendana na mtizamo wa anayeziamini.
Muhimu ambalo liko kimfumo zaidi, ni kuwa yote haya ni kwa watu walio hai tu.
Ukishakufa na yote yamekwisha kwako.
Facebook unaitwa Poppy Hatonn pia?Hawa walioandika hii stori,hiyo ndiyo falsafa yao,there is nothing new under the sun.
Wanasema this is the Mother of all Stories.
Wanasema all stories are encompassed in this story.
Lakini hiyo story nimeinalizia Facebook,kwa sababu JF nadhani yanahitajika marekebisho kidogo.
Una copy and paste,but if you want to copy something else, there is no change from the first one.
Facebook naitwa Andrew Nyerere.Facebook unaitwa Poppy Hatonn pia?