KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 92
mazee mi mwenyewe sijarudi bongo mda.hivi kumbe tigo ni laini ya simu?jamaa waliniambia tigo ni tusi
Baada ya kui-miss bongo km miaka 2 hivi, sasa narud ndani ya wiki moja au 2 hivi.
Naomba ushauri nikija ni2mie mtandao gani wa simu yaan voda, tigo, zain nk. Nataka huduma reliable na bei cheap.
Pili kama kuna m2 anajua nawezakupata chumba maeneo karibu na Airport Dar, nyumba yenye gate ntashukuru sana. Ningependa kulipia labda miezi mi3 coz sijajua mishughuliko yangu ofisi ita base wapi. Sitamaind kama chumba kitakua mbali na airport bali ingenirahisishia sana km ikiwa hivyo.
Ni hayo 2.
tumia TIGO
Utampa namba yako?
situmii simu za mkononi zaidi ya barua pepe we utampa ya kwako?
Baada ya kui-miss bongo km miaka 2 hivi, sasa narud ndani ya wiki moja au 2 hivi.
Naomba ushauri nikija ni2mie mtandao gani wa simu yaan voda, tigo, zain nk. Nataka huduma reliable na bei cheap.
Pili kama kuna m2 anajua nawezakupata chumba maeneo karibu na Airport Dar, nyumba yenye gate ntashukuru sana. Ningependa kulipia labda miezi mi3 coz sijajua mishughuliko yangu ofisi ita base wapi. Sitamaind kama chumba kitakua mbali na airport bali ingenirahisishia sana km ikiwa hivyo.
Ni hayo 2.
kama unarudi likizo usihofu vyumba vipo na mtandao wowote utakaotumia ni sawa tu kwa sababu ukitaka cheap lazima uwe na simu zaidi ya moja kila moja na mtandao wake au uje na zile simu zinazo wekwa sm card zaidi ya moja..
kama unarudi moja kwa moja, think twice kama unaweza kujiandaa zaidi kabla ya kurudi itakuwa jambo jema sana..kwa mfano ujenge angalau kibanda cha kufikia kuliko kugawana pesa na land lord
Triplets mambo? Are you He or She?
Sijajua kama huyu mtu kama ni He au She. Itifaki inazingatiwa
poa poa...I don't know, what do you think?
ndo maana mie nikaomba Mod atuwekee option ni hatari
Just for my personal interest. Msaada tutani please.
habari za asubuhi kaka? umekunywa chai/supu? una onekana una njaa wewe hata akili haifanyi kazi vizuri...hili swali unaniuliza mara ngapi? na kwa nini unatembea barabara nzima ukimuuliza kila upishanaye njiani are you he or she?
ndugu yetu anahitaji chumba karibu na air port...mshauri basiiii
Uswahili umeshaingia kwenye thread