Narudi bongo, msaada wakuu!

Narudi bongo, msaada wakuu!

Miafrika Ndivyo Tulivyo. Uswahili ndio ushamba au? Punguzeni kutukuza uzungu kalaghabaho.

Uswahili ni ushamba wa kuanza kuulizana jinsia huku uki-ignore kinachoongelewa kwenye thread..
 
Bora hata wewe uliyekumbuka kurudi nyumbani wengine mpaka sura tumezisahau, lakini tunazidi kumuomba Mungu, Welcome Home.
 
Watu wengine kwa kupenda sifa na attention....mtu huendi popote lakini unabandika humu eti unaenda bongo....frustrated individuals are pitiful...

babu vipi unamjua huyu mtu? mbona umemmaindi kiasi hicho
 
Mpaka utakapoolewa na mzungu ndio utapata akili ya kuutukuza uswahili wako.
Mazee yaelekea una kichwa kigumu sana..jifunze kuelewa wengine wanachoandika..lol.

Sizungumzii rangi wala 'uswahili ' ule unaouelewa wewe, nazungumzia ukosefu wa ustaarabu, hisani na kushindwa kuheshimu thread za wengine.

Mbado?
 
Inawezekana kichwa ngumu kweli. Si unajua madhara ya kuzaliwa mchana. Mi nachopigana ni neno uswahili kutumika kama tafsiri ya ushamba. Thats all. Why uswahili? Kwanini tusiuite uzungu au uhindi? Natukuza cha kwetu, mimi ni mswahili. Najivunia uswahili wangu.

Hilo la kutoheshimu thread za watu inaetegemea tafsiri yako ya heshima. Kwetu sisi waswahili, utani ni sehemu ya heshima. Sijui kwenu nyie.

Mbado!
 
Nyumbani ni nyumbani jameni! Karibu sana Mr. Tripo9 tulikuwa tumekumisi sana Bongo!
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=FZvOBQAUbVc"]http://www.youtube.com/watch?v=FZvOBQAUbVc[/ame]
 
Inawezekana kichwa ngumu kweli. Si unajua madhara ya kuzaliwa mchana. Mi nachopigana ni neno uswahili kutumika kama tafsiri ya ushamba. Thats all. Why uswahili? Kwanini tusiuite uzungu au uhindi? Natukuza cha kwetu, mimi ni mswahili. Najivunia uswahili wangu.

1. Sijazungumzia wala kuleta wazo la ushamba, wewe uliyeingiza hili neno ndiye mwenye kutakiwa kutoa maelezo.
2. Kujivunia / kutukuza kwako 'uswahili' ni nje ya thread.
3. Kuzaliwa mchana ni nje ya thread.

0. Inaonekana bado kweli hujaipata maana niliyoikusudia ya neno 'uswahili' labda ungefungua thread kwenye jukwaa la lugha ukapata uelewa.

Hilo la kutoheshimu thread za watu inaetegemea tafsiri yako ya heshima. Kwetu sisi waswahili, utani ni sehemu ya heshima. Sijui kwenu nyie.

Sio heshima tu, ni kukosa uungwana na hisani kwa watu wengine na kupoteza muda wao. Huu sio utani. Kuna thread za utani kwenye jukwaa mahsusi.

Kweli mbado. Mwe!
 
1. Sijazungumzia wala kuleta wazo la ushamba, wewe uliyeingiza hili neno ndiye mwenye kutakiwa kutoa maelezo.
2. Kujivunia / kutukuza kwako 'uswahili' ni nje ya thread.
3. Kuzaliwa mchana ni nje ya thread.

0. Inaonekana bado kweli hujaipata maana niliyoikusudia ya neno 'uswahili' labda ungefungua thread kwenye jukwaa la lugha ukapata uelewa.

Sio heshima tu, ni kukosa uungwana na hisani kwa watu wengine na kupoteza muda wao. Huu sio utani. Kuna thread za utani kwenye jukwaa mahsusi.

Kweli mbado. Mwe!

Hahaha! Hapa bado kichwa ngumu. Unapobishana na kichwa ngumu, basi ujue na wewe una kichwa ngumu zaidi. Hongera wewe uko ndani ya thread japokuwa sijaona ulipomsaidia mwenye thread zaidi ya kujibizana na mswahili bichwa ngumu. Heri mimi niliyetaka kujua jinsia yake labda ningeweza kumsaidia atafute sehemu gani ambayo kulingana na jinsia yake pangemfaa zaidi (Ofkoz, sehemu ambayo ingekuwa nzuri zaidi ya mimi kumtembelea kama yeye ni she)

Mbado sana.
 
Watu wengine kwa kupenda sifa na attention....mtu huendi popote lakini unabandika humu eti unaenda bongo....frustrated individuals are pitiful...
wewe kijana uje likizo au karatasi bado mzozo......
 
Hahaha! Umeamka? TiGo yangu ni haramu for human consumption! Lol! Shosti nitake radhi.
nimeamka bwana, jana nimetumia njia za kijasusi kukudetect ulipo nimechemsha, but there is always next time.
 
Ati nini?
ah yoyo, umefufuka? ulipotea wapi lakini bwana, chriss, geof, nguli, fidel na masanilo wanasumbua sana hapa, i hope hutakuwa upande wao, au ndo chama kubwa lenyewe na wewe?
 
Mtoto wa mjomba wetu huyo.
 
Chrispin mi ni HE. Na ushauri wa wengi nitumie Tigo. Nimeonelea nikija ntakucheki unipe hiyo Tigo. Hapa nafuata ushaur wa FirstL na wengine wengi. Thanx in advance
 
Back
Top Bottom