Karibu Bongo, Mtandao rahisi ni Tigo kwa simu, mtandao wa internet ambao kidogo uko faster na haukatikati ni Sasatel ni wazuri hawa .
Kuhusu Nyumba au chumba hilo sina uhakika nalo , kwanini kwanza ukae huko Airport ni una ndugu wako maeneo hayo? , navyojua huko kuna foleni mbaya kwenda na kurudi na nadhani ungetafuta sehemu za Mikocheni B ni nzuri , vibaka hakuna na bei una weza pata sio mbaya sana inategemea umejipangaje ,Ongea na madalali wa Mikocheni B labda wanaweza kukusaidia.
To Wabongo
Lakini wabongo kwanini mna mawazo ya kimasikini namna hiyo ?, mwenzenu kosa kukaa nje ya TZ nyie bado mnaona eti anawaringishia, tatizo ni umasikini wa wa tanzania , mtu huwezi sema jana nime rudi toka New York bila kurogwa , acheni fikra za karne ya zilizo pita ,Siku hizi kusafiri na kuka nje ni jambo la kawaida sana ,so msione ni ajabu mtu kusema na rudi Bongo , kwani kuna ubaya gani akiuliza ?, huwezi jua mambo mengi yamebadilika kwa mwaka mmoja tuu sembuse miala miwili.