Chrispin mi ni HE. Na ushauri wa wengi nitumie Tigo. Nimeonelea nikija ntakucheki unipe hiyo Tigo. Hapa nafuata ushaur wa FirstL na wengine wengi. Thanx in advance
Nipo hasa vijijini mkuu 2010 imekaribia......ah yoyo, umefufuka? ulipotea wapi lakini bwana, chriss, geof, nguli, fidel na masanilo wanasumbua sana hapa, i hope hutakuwa upande wao, au ndo chama kubwa lenyewe na wewe?
Wabongo kwa kujibu maswali daaaahina maana hujawahi kukaa dar au huna mwenyeji yeyote anayekaa dar ? je ulipokuwa tz ina maana hukuwahi kuwa na simu ya mkononi ? kama ulikuwa nayo ni kampuni gani ? na kwa nini ulikuwa unatumia hiyo kampuni na si zingine ? hakuna lolote lililobadirika ndnai ya hizo aka mbili zaidi ya mgao wa umeme
Mazee yaelekea una kichwa kigumu sana..jifunze kuelewa wengine wanachoandika..lol.
Sizungumzii rangi wala 'uswahili ' ule unaouelewa wewe, nazungumzia ukosefu wa ustaarabu, hisani na kushindwa kuheshimu thread za wengine.
Mbado?
wewe kijana uje likizo au karatasi bado mzozo......
Mi nimemshangaa Tripo9 kwa thread yake isiyokuwa ma kichwa wala miguu. Ina maana hana ndugu aliowaacha, jamani mbona wa-Afrika hata yule ndugu wa mbaliiii anaitwa dada au kaka e.t.c. Eti miaka miwili tu mtu amesahau wapi pa kulala???Bwana eeh tuondolee ulimbukeni wako! huo ni upoli poli u know!anatuzingua tuu hamna mtu TZ ambae hana ndugu anaeisi Dar es salaa, hata wa kufosi?miaka 2 nyuma alikua anakaa wapi? awaambie ndugu zake waje kumpokea?kwani maswali haya hawezi kuuliza ndugu zake, na je eti anataka kujua aina ya sim mwanzo je alitumia sim gani?atasema nataka umaaruf JF! Kaazi kweli kweli
usituzingue bwana toa ushamba wako huko
Karibu Bongo, Mtandao rahisi ni Tigo kwa simu, mtandao wa internet ambao kidogo uko faster na haukatikati ni Sasatel ni wazuri hawa .
Kuhusu Nyumba au chumba hilo sina uhakika nalo , kwanini kwanza ukae huko Airport ni una ndugu wako maeneo hayo? , navyojua huko kuna foleni mbaya kwenda na kurudi na nadhani ungetafuta sehemu za Mikocheni B ni nzuri , vibaka hakuna na bei una weza pata sio mbaya sana inategemea umejipangaje ,Ongea na madalali wa Mikocheni B labda wanaweza kukusaidia.
To Wabongo
Lakini wabongo kwanini mna mawazo ya kimasikini namna hiyo ?, mwenzenu kosa kukaa nje ya TZ nyie bado mnaona eti anawaringishia, tatizo ni umasikini wa wa tanzania , mtu huwezi sema jana nime rudi toka New York bila kurogwa , acheni fikra za karne ya zilizo pita ,Siku hizi kusafiri na kuka nje ni jambo la kawaida sana ,so msione ni ajabu mtu kusema na rudi Bongo , kwani kuna ubaya gani akiuliza ?, huwezi jua mambo mengi yamebadilika kwa mwaka mmoja tuu sembuse miala miwili.
Acha uzushi miaka miwili hakuna mabadiliko yoyote bana...mie nimekaa ughaibuni miaka 15 nimerudi naona hakuna mabadiliko yoyote
- maji bado ni ya ndoo
- umeme wa mgawo
- barabara mbovumbovu, kidogo za mjini wametia vijilami vya mchina.
- uchafu kama kawa
- UFISADI kwa kwenda mbele
- magomeni kota,ilala kota,kinondoni kota bado zipo
-viongozi wale wale i.e KINGUNGE NGOMBALE MWIRU et al.
- Ajali,vibaka,rushwa,uzembe kila eneo kama kawa.
- Hayo sijui matigo,mazain,maceltel yale yale, sema ni majina tu yamebadilika.
habari ndo hio............
UNATUZINGUAPoa man 'mtoto wa kishua' hawa sasatel wana kua wanachaji kivipi yaan. Labda kwa mwez au kwa bytes unazo2mia.
Na kwa wale wanaosema nkae kwa ndugu mie simaindishi mambo hayo. Wapo ndugu wakuvuta na kamba dar ndio but km naweza kujilipia haina haja. Ndugu wako mkoani nsingependa nibebe mamzigo yote mpaka huko. Argh! Great thinkerz wengine bwana!
Ni mtazamo tu. Usilazimishe wengine mtazamo wako.
Kama miaka 15 iliyopita ulikuwa na uwezo wa kuwa na simu, basi at least utagundua sasa hivi unazungukwa na watu wengi zaidi wenye simu kama wewe. Hilo ni badiliko. Kama miaka 15 iliyopita ulikuwa huna uwezo wa kununua simu, utagundua sasa hivi unao uwezo wa kufanya hivyo. Hilo ni badiliko pia. Kwani miaka 15 iliyopita ulipokuwa hapa mtandao gani wewe ulikuwa unaongea kwa sh. 1 kwa sekunde? Utagundua mambo yamebadilika sana tu.
Mimi niko hapa hapa bongo miaka yote, na ninaona mabadiliko.
Baada ya kui-miss bongo km miaka 2 hivi, sasa narud ndani ya wiki moja au 2 hivi.
Naomba ushauri nikija ni2mie mtandao gani wa simu yaan voda, tigo, zain nk. Nataka huduma reliable na bei cheap.
Pili kama kuna m2 anajua nawezakupata chumba maeneo karibu na Airport Dar, nyumba yenye gate ntashukuru sana. Ningependa kulipia labda miezi mi3 coz sijajua mishughuliko yangu ofisi ita base wapi. Sitamaind kama chumba kitakua mbali na airport bali ingenirahisishia sana km ikiwa hivyo.
Ni hayo 2.
Ati nini?
UNATUZINGUA
kama unandugu mikoani na hapo dar wa manati si uwaulize hayo mambo ya sim? inamaana hata ndugu zako hauwasiliani nao ulipo...afu mara unakaa wiki mara wiki mbili acha kutuzingua
hauko pekeyako wanaokaa nje, wapo kibao na wanarudi baada ya miaka 5 na wanawasiliana na ndugu zao
ACHA UKUDA NA USHAMBA/ULIMBUKENI et all