Narudi bongo, msaada wakuu!

Ishabakaki ntakuchek ktk namba ulon2mia, but niambie kwanza we ni HE au SHE? (Hapa najaribu ku-chrispin-ize)
 
huyu ni mwizi tu. wapi na wapi, eti akae karibu na air port!!!!

mitanzania bana
 
https://jamii.app/JFUserGuide u edson
 
https://jamii.app/JFUserGuide u edson

mh huko mbali sasa! hapa nadhani modes hawajaitendea haki jamii ya JF, lugha ngumu kama hizi hazipendezi sana humu ndani!
 
Vipi mkuu ulishafanikiwa kurudi Bongo tayari?
 
https://jamii.app/JFUserGuide u edson
ukiona majibu yenyewe ndo haya lazima huyu jamaa atakuwa MWIZI tu ndo maana anataka kukaa karibu na airport ili akilikoroga tu basi ANAHEPA kiulaini.wabongo banaaa.
 

Umezibuuuuka
 
huyu jamaa ni mpuuzi maana anatukana humu ndani, ndo maana me namuita MSHAMBA maana mambo hayo ya kutumia F word ni washamba afu inaonekana elimu yake ipo chini sanaaaa ndo tabia zao hawa watu PUMBAV kabisa..na matusi yako unayo yaweka hapa kamtukane mama yako pumbav we.
 
We semenya ndugu yangu wee!
Mi na we nani mwenye elimu ndogo. Cheki hayo maelezo yako hapo juu. Hakuna hata nukta. Yaani kashfa zote ulizonipa ni phrase moja bila hata nukta. Kweli mwenye akili hahitaj kuuliza kiwango chako cha elimu akishasoma hiyo post yako.
Na mpaka umechagua user name hiyo kweli we wahitaji ufanyiwe medical check up maana hormones zako za jinsia mbili zina-act antagonistically leading to the state of confusion na kuanza kutaja mambo ya mama humu ndani.
Nakuchukulia kama ulivyo na naomba usinijibu hii post yangu kwani sina mda wa kupoteza kusoma maelezo yako ya kipumbavu. Tafadhali sana usinijibu, meza tu nliyokupa. Habari ndo hiyo!
 
@ enny tayari mkuu nshaingia bongo jana. Mambo yote ok!
 
wewe ni mpumbavu na hata msamaha hauombi.Mshenzi kabisa wewe kwanini unatukana matusi ndani humu..Omba msamaha ndugu, acha uswahili..Mpumbav mkubwa wewe Omba Radhi kwa mshkaji uliye mtukana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…