Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh, kama malila amerudi nadhani biashara ya miti inarudi upya huko mafinga.HABARI,
MPANGO UPI, HUU WA KURUDI KIJIJINI KUWEKEZA?
Nipo,Duuh, kama malila amerudi nadhani biashara ya miti inarudi upya huko mafinga.
Wanafyeka misitu for what purpose? Wananunua mbao au kitu gani. Wakifika bei nishtue nirudi kuwapa acre zangu 300 kaka.Nipo,
sikutoka kwenye hii biashara mkuu, Wachina wametuamsha upya kwa jinsi wanavyofyeka miti Mufindi na Njombe.
HAWA JAMAA WANAVUNA MLINGOTI SANA KWA AJILI YA MARINE BOARDS NA CEILING BOARDS. PIA HATA PINES WAMEANZA KULAMBA PIA.Wanafyeka misitu for what purpose? Wananunua mbao au kitu gani. Wakifika bei nishtue nirudi kuwapa acre zangu 300 kaka.
Na wao wanachukua migao au wananunua kwa wenye migao?HAWA JAMAA WANAVUNA MLINGOTI SANA KWA AJILI YA MARINE BOARDS NA CEILING BOARDS. PIA HATA PINES WAMEANZA KULAMBA PIA.
WANAVUNA ZAIDI KWA WATU BINAFSI, WAKO MGOLOLO, MAFINGA, NJOMBE, LUPEMBE. KOTE HUKO WAMEJENGA VIWANDA PORTABLE.Na wao wanachukua migao au wananunua kwa wenye migao?
Safi kabisa wazo zurmkuu, nunua JD machine bei 1-1.3m., hii ni multipurpose unaweza kufunga machine ya kusaga, kuchana mbao/randa, kufunga
Hiv kuwa na kiwanda Cha marine board inawezekana ikawa kias gan bajetWANAVUNA ZAIDI KWA WATU BINAFSI, WAKO MGOLOLO, MAFINGA, NJOMBE, LUPEMBE. KOTE HUKO WAMEJENGA VIWANDA PORTABLE.
Mkuu Malila nimefurahi sana kukuona hapa, aisee mashamba yanapatikana kwa wingi katika vijiji gani huko?HAWA JAMAA WANAVUNA MLINGOTI SANA KWA AJILI YA MARINE BOARDS NA CEILING BOARDS. PIA HATA PINES WAMEANZA KULAMBA PIA.
Mashamba makubwa yapo Lupembe vijiji vya Nyave, Ikondo, Mfiliga. Mufindi yapo Idete, Chogo, Kipanga. Mlimba yapo Uchindile, Kitete, Tanganyika Masagati. Madaba yapo Wino, Igawisenga, Ifinga na Maweso.Mkuu Malila nimefurahi sana kukuona hapa, aisee mashamba yanapatikana kwa wingi katika vijiji gani huko?
Mtihani, sijafanya utafiti wa gharama za zile mashine. Ila wazo ni zuri la kujaribu.Hiv kuwa na kiwanda Cha marine board inawezekana ikawa kias gan bajet
Asante sana Mkuu. Mlimba, Tanganyika na Madaba kote huko ni Mkoa wa Njombe, sivyo?Mashamba makubwa yapo Lupembe vijiji vya Nyave, Ikondo, Mfiliga. Mufindi yapo Idete, Chogo, Kipanga. Mlimba yapo Uchindile, Kitete, Tanganyika Masagati. Madaba yapo Wino, Igawisenga, Ifinga na Maweso.
Mlimba ni Wilaya ndani ya mkoa Morogoro. Tanganyika Masagati ni Mlimba, Madaba ni wilaya ndani ya mkoa wa Ruvuma.Asante sana Mkuu. Mlimba, Tanganyika na Madaba kote huko ni Mkoa wa Njombe, sivyo?
Good, pines wanavuna za size gani na bei zao ziko vipi mkuu.HAWA JAMAA WANAVUNA MLINGOTI SANA KWA AJILI YA MARINE BOARDS NA CEILING BOARDS. PIA HATA PINES WAMEANZA KULAMBA PIA.
WANAVUNA KWA KUJAZA VILORI/VITIPA FULANI KWA TSH 250,000/. SIZE YA KUCHANA 2X4 HIVI NA KUENDELEA.Good, pines wanavuna za size gani na bei zao ziko vipi mkuu.